Kajala majuzi juzi nlikusifia kuwa uko gym and ni mfano mzuri..,
Huwa sipendi ongelea mwili wa mtu but nimeshtuka kidogo niwe mkweli kama binadam nlivyoona hii picha maana not so long ago hakuwa hivi.
Halafu sasa this dress was so wrong for you maana imekufanya ugawanyike na kwavile wewe sio mrefu with long legs ndio ikakufupisha zaidi.
Mwenzio Rose hakukomplicate kajirahisishia so she looked Ok.
Huyo dada na Idris she looked simple yet chic..,
5 comments:
da nuu nilishasemaga wasanii wa bongo movie kuvaa ni shida hawajui wanakurupuka tu as long as ameambiwa na akina mwenye maduka yao makubwa kuwa ni nguo n nzr,
ana shepu nzr ila chaguo la nguo ndio baya,
Nuru chezea maakuli ya bongo wewe chips dume hahaha kweli Kajala kaongezeka sana na alikuwa activ sana kumantain mwili wake imekuwaje sasa au ndio kuridhika na maisha? Just saing is your choice mwaya.
kweli hata mi nimeshangaa huo mwili imekuaje tena ukajaa hivyo? ila wanasemaga ukiacha mazoezi unaongezeka zaidi
Wallah Mimi pia nimeshtuka, mpaka nikahis labda event ya long time!!!
Mmmh Kajala go back Gym ulipendeza sana
Uko gym selfie tu nyingi kuliko sababu inayo kupeleka pale. na nguo haija tulia mwilini.
AM...
Post a Comment