hahhaha wadau mmenichekesha kweli eti mkorogo umedunda sema hivi ukiacha mkorogo kuja kuisha inachukua muda ndio kwa wema sasa ila kiukweli kabisaaa wema hata kwa muangalia tu utaona kuwa hapaki mkorogo, ila tumbo sasa #unene.com wema ni msanii mkubwa sana sema n vile anajichanganya sana. angetulia na kufuata mawazo yake angekuwa mbali kweli na ana uwezo wa kuipeperusha bendera yetu vzr tu, angetulia kwenye bongo movie basi na biashara yake ya lipstik na hiyo app aliyoifungua. angepata bonge la heshima na ana ushawishi mkubwa tu kwa wasanii wenzake.
6 comments:
Hongera zake.siku nyingine Wema vaa nguo ya kuvuka goti mkorogo umedunda hapo kwa goti loh!
Mmmh Jamani mkorogo Gani ,watanzania kwa sifa tuu!! Kapendeza zake, Bila kukashifu watu siku haiendi?
Wema hapaki mkorogo tena.
Aliambiwa China akipaka tena mkorogo hatoweza kutengenezwa tena ngozi.
Mhhhh mumuache
Kwel mkorogo umedunda mtu anaongea alichoona mwenyw nimeona...anyway da nuru ulituambia utaleta video za kuget rid of knuckles....utuletee bas
hahhaha wadau mmenichekesha kweli
eti mkorogo umedunda
sema hivi ukiacha mkorogo kuja kuisha inachukua muda ndio kwa wema sasa
ila kiukweli kabisaaa wema hata kwa muangalia tu utaona kuwa hapaki mkorogo,
ila tumbo sasa #unene.com
wema ni msanii mkubwa sana sema n vile anajichanganya sana. angetulia na kufuata mawazo yake angekuwa mbali kweli na ana uwezo wa kuipeperusha bendera yetu vzr tu, angetulia kwenye bongo movie basi na biashara yake ya lipstik na hiyo app aliyoifungua. angepata bonge la heshima na ana ushawishi mkubwa tu kwa wasanii wenzake.
amependeza apungue kidogo mana kaongezeka sana
Post a Comment