Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, March 9, 2017

WELL HELOOOOOW CHANEL IMAN I SEE YOU AND WILL SMITH ARE ENJOYING IN TANZANIA!!!

WILL SMITH NA MWANAMITINDO MAARUFU CHANEL MAN WAKIWA TANZANIA,,

1 comment:

Bintinyota said...

Wa TZ inabidi turud shule. Class muhimu jamani japokuwa mengine ujiambie tu.

Hawa ni Celebrities!!
Kitendo cha yy ku - post one pic on his wall!! Ni bonge LA marketing to our attractions!!

Akizungumza tu vizuri with one media regarding his experience!! Word of mouth itauza hatari.

Ebu tutembeeni ili tujue kwanza why they wapoteze muda, pesa zao, kuja huku!! Nini hasa kinawavutia mbali na shughuli za kijamii ambazo celebrities hufanya Africa na kungine.

Mpaka vitabu vya dini vimesema tutafute elimu hata ikiwa kufika China. Tutembee ili kujifunza vitu vipya. Maisha ya watu, tamaduni zao, maendeleo na mazingira kwa ujumla. Hii inakujenga pia kuthamini kile ulichojaaliwa na Mungu kwa kupitia experience za maisha ya watu wengine. Tourism is Education and Leisure!!!!!