HE WAS IN EGYPT AND THEN CAME STRAIGHT TO TANZANIA WITH HIS PRIVATE PLANE,ALL IN ALL YOU ARE WELCOME AND ITS NICE TO SEE THAT YOU BROUGHT THE FAM ASWELL.
MUIGIZAJI WILL SMITH YUKO TANZANIA KWA MAPUMZIKO NA AMEKUJA KIMYA KIMYA BUT NAMUELEWA ILA WA KENYA WASHAPOST YUKO KENYA HAHAHAH WATANZANIA MMELALAAAAAA AKII..
4 comments:
Makubwa!!
Hata waki post yupo Tz at awasaidie nini ??
Ama kweli sikujua ntachamba mtu siku ya wanawake
Hivi hujui watu kama hawa wakija nchi yetu inapata exposure and its good for tourism
Kingine unajuaje vitu anafanya ambavyo haviongelewi kama kazi na kusaidia jamii
Kweli you are stupid na siongei zaidi maana naweza kuwa nawaelimisha kina Bashite,,,
Hilo nalo ni swali?mxiuuuuu
Tunaishi na mamburulazz dear light achana nae
Achana nae huyo mburura. Hajui kuwa Utalii ni sekta moja muhimu inayoingiza pato kubwa kwenye taifa lake. KWELI ELIMU ni msingi wa maisha.
Post a Comment