Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, March 24, 2017

WAIT A MINUTE!!!


Swali langu la kwanza kwani Edward N Lowassa katamka kuwa he is running for presidency 2020?
Swali langu la pili kwani si alikuwa anagombea uchaguzi ulopita and still mlimchinja tena kwa NYODO na mbwembwe?
Swali langu la tatu Mabadiliko si hayo mnayaona au hamjaridhika nayo?
Swali langu la nne si huyu mlisema hafai,mgonjwa na mengine mengi tu  ambayo siwezi kuyaandika?
Swali langu la TANO si huyu mlisema aaah a siposhindwa uchaguzi atachanganyikiwa na kupata tabu sasa leo nani a napata tabu yeye au wewe?
Swali langu la sita Was it worth it?

Kila siku nawaambieni humu kuwa Muda hutufunza mengi sana kwani mimi naona mbali na hufikiria mbali sana kwenye jambo lolote lile sasa nadhan historia ya Lowassa itakuwa imekufunza viwili vitatu kama sio zaidi.
Sura za waliokuwa wakimkataa ghafla zimebadilika.
Vitendo vya waliokuwa wakimkataa ghafla vimebadilika lakini kuomba msamaha au KUKIRI kuwa walimkosea kwa aina moja au nyingine wanashindwa.
Kingine kumbuka kuwa kupiga kura ni haki yako,kumchagua nani wa kumpigia kura hicho pia ni haki yako na sitomuingilia kamwe mtu yoyote yule kwa kile roho yake ki nataka Bali sometimes tunataka mabadiliko wakati it is too late.
Ni pale mungu anakupa mke mwema halafu still you choose kuwa na nyumba ndogo halafu MKEO akafanya maamuzi ya kuondoka na kukuacha unarudi kwa yule yule mungu na kumuomba tena but why should he deliver meaning akupe tena  kitu ambacho he blessed you with and still ukashindwa kukiheshim na kukitunza?
So you see Huyu baba he is doing just fine if not better kwani hiyo nadhan imejibu maswali ya wengi kuwa alikuwa na uchu wa madaraka.
Let me tell you something kuna watu duniani japokuwa ni ngumu kuamini walitaka tu kuwaongoza lakin kuweza kuwaongoza lazima muwape hiyo Silaha meaning the Power na mamlaka to do so,sasa kama mlishamnyima leo je mnalalamikia nani?
Sometimes lazima tukubali maamuzi yetu whether yalikuwa mazuri au mabaya lazma tuyabebe kwani kwenye maamuzi always kuna Somo AMBALO unatakiwa jifunza.
Hakuna anayeijua kesho lakini unaweza kuanza jitayarisha kwa kesho na kitu kinachowafanya muweze jitayarisha kwa kesho ni maamuzi yenu ya leo,Nimemaliza.com!

2 comments:

Anonymous said...

Japokuwa nilimpigia magu kura kwa sasa najifikiria mara mbili mungu atusimamie
Nuru umeongea ukweli japokuwa kuumeza nashindwa

Bintinyota said...

Hehehehehe pole mdau mwenzangu
Siasa mchezo mchafu