ANITA FABIOLA
OUR VERY OWN SEKO SHAMTE,,
ACTOR NICK FROM KENYA
32 YEARS OF MARRIAGE
Wenzetu wanajitahidi mno kwenye swala zima la Redcarpet kuanzia wabunifu wao,make up artists wao,stylist wao na kuiinua industry yao ya movie at the same time.
Unaona kabisa kila mtu kajipanga na kujiandaa hata kwa waliokosea lakin unaona wanaichukulia tasnia,event,wabunifu wao very serious.
Kingine kila mmoja anakuwa hana uwoga wa ku jaribu kitu kipya kwamba hawafanani kwani hawataki kufanana Bali kustand out KIVYAKE kwani bongo mnaigana mnoo mkiona flani kapendeza na alikuwa kwa MBUNIFU flani instead ya kufuata MBUNIFU na kusema nitengenezee changu atasema nataka kuwa kama yule sasa mwisho wa siku wote mnaingia ukumbini mmefanana inakuwa ngumu kuwatofautisha so that is my ADVISE ni Find Your Own Style na iende na kukompliment Mwili wako na Most importantly kufuata Dresscode.
www.Bellanaija.com
7 comments:
Thank u Nuru XOXO!
Sisi huwa hatupo serious na kaz zetu cjuagi ni kwann, kat ya picha zote za event waliokuwa wamekosea hata watano hawafiki nao sio kwamba wamekosea ila hawakuvutia, hiz pic zinajadiliwa hadi kwenye blog maarufu huko ulaya tayari watu wamejitangaza huko kuanzia mwigizaji, designer, mua hadi raha.
Yaani kweli kabisa wanajitahidi sana na hata kimavazi yaani wanajielewa kwa kweli hebu na mastaa wa kwetu waige mfano mzuri kama huu.
West Africans are on a different level... Tanzania got a lot of catching up to do ya'll!!
Ur welcome xoxo😙😙 and thank u for the tip!
ilove the last couple yani mpk wamefanana ukiangalia picha ya pili toka mwisho
bongo unafiki mwng na kingne walichokuja kuharibu ni kuona hawawez kutoka mpk wajichanganye kwenye siasa
m nasema na nitasema mtu pekee ambaye alikuwa na aliweza kutoboa anga la kimataifa kwa tasnia ya uigizaji ni Kanumba peke yake na hatotokea mana wote wanaogopa coz hawataki kujaribu, kanumba amekufa bado kapanga sijui kama ni kweli ila ukiangalia alijaribu na akafanikiwa,
da nuu cheki toka sakata la madawa lianze umeona nan kapost yuko china au dubai ina mana wengi wao walikuwa wanauza ndio mana trip hazipo.
chekini weng wao wamekimbilia kwenye siasa na wengine kufungua maduka
hawajiamini kama sanaa inaweza kuwatoa ila ni wakubali kupata hasara kwanza ili kuweza kufanikiwa kufika uko kama hawa wenzetu,
trust me da nuu Kanumba angekuwepo bongo movie ingekuwa iko mbali kinoma same goes to music Diamond ndio anatuongezea sifa kwa taifa letu ila asingejaribu tungebaki kuwasikia na kuwaona kwenye matamasha ya fiest ya cloudzzzzzz,
Seko and ritha Dominic wamependeza mnoooo
Kweli Olu Jacob na Joke silver hadi wamefanana miaka 32 mmmmmmmh simchezo.
Post a Comment