There are so many brands out there in terms of bags and its always nice when you find the unique ones that you know that half of the city or country are not rocking them.
Sophie Hulme makes great bags and quite affordable..
Kuna brands za mabegi nyingi mno ambazo ni majina au kama mnavyosemaga designer bags ila Wabongo mna kasumba kamoja na ni kwamba mkijua brand moja basi kila boutique na wateja wao wanalilia liletwe so mwisho wa siku nusu ya nchi wanawake wote mna bag moja yaani inakuwa SARE.
Mpaka leo Lv bags na Michael Kors lile bag bado linabebwa.
Jaribuni kuwa unique na kustep outside the box from time to time.
Hata huku Sweden lile Mk bag lilibebwa kama uniform nlitaka kupewa zawadi for xmass nikakataa kiruuu.
Nowadays maduka kama Zara,Hm,Mango,Åhléns wanakuwaga na mapochi mazuri na quality nzuri ni hela yako tu na wewe kuwa unataka nini.
2 comments:
Sometimes I blame our style influencers and wauzaji, mfano leo Lulu akibeba pochi watu wakaisifia basi next week kila duka litakuwa na hiyo pochi and since we have few of those influencers matokeo yake ndio hayo ya kila mtu kufanana.
Pia nuru weuza nguo hii inchi sijui kama umewapeleleza hivyo vitu vya HM, zara cjui mango ukivikuta tz bei ni mara 100 hata kama faida mmh.
Yes wanavipandisha bei mno uko sahihi..,
I agree wapandishe maana ni biashara ila wanazidisha..
You are right hata nywele leo wema akisuka au irene nenda mwenge kika mtu nataka kama hii hahahaha thats one of the biggest problem ni kuigana Tanzania no Individuality
Post a Comment