Jamani Jamani mtoto wa watu Hana hiyo Tabia hiyo, mbona wanachaafua watu hivi? Yaaani wauzaji wanajulikana mchana kweupeee alafu wanakamatwa wengineee....Sasa Vanessa kinda lake litasafishwa vipi nje ya nchi??? Huyu bashite ziro mungu anamlipa tu
Tanzania dar .Alisema Q chief bora ungezaliwa mnyana ulaya. Nilichukiaga hii sentens ila kwa sasa mengi niayaona magazeti Inakatisha tamaa.
Sisahau tulifatwa na defenda home. nyuma juna asikar wa tatu na mbele wawili . Kisa ndugu yangu alitukaanana na mdada anafanya kazi posta na simu anayemdai Huyu dada kaja na tax anaamrisha kaa bosi wa polisi. Wakachukua tukafika. Tuko kituo . A natoa Amri apelekwe Segerea . Basi polisi mwI ngine anamwelekeza yeye hakubali. Walimlaza ndani . Kesi ikaenda . Huyo dada haki mahakamani . A mwisho tukalipa fain. UhaYaani m tupuuu Bashite naamini litakupata tu kwa laana za watu. Raisi kimyaaa
5 comments:
Mmmmmh!.
Nakama hawana hatia mtawasafishaje.... Kwa sababu mtumiaji hana hatia ya kufikishwa mahakamani .
AM...
Jamani Jamani mtoto wa watu Hana hiyo Tabia hiyo, mbona wanachaafua watu hivi? Yaaani wauzaji wanajulikana mchana kweupeee alafu wanakamatwa wengineee....Sasa Vanessa kinda lake litasafishwa vipi nje ya nchi??? Huyu bashite ziro mungu anamlipa tu
Ndiyo maana watu wakamjia juu sana Makonda kwani kuirudisha heshima yao itachukua a life time!!!
This is so sad!!!
Wauzaji wanawajua. Mbona kuna watu wameitwa kimya kimya? Hata hatujajua?
Tanzania dar .Alisema Q chief bora ungezaliwa mnyana ulaya. Nilichukiaga hii sentens ila kwa sasa mengi niayaona magazeti
Inakatisha tamaa.
Sisahau tulifatwa na defenda home. nyuma juna asikar wa tatu na mbele wawili . Kisa ndugu yangu alitukaanana na mdada anafanya kazi posta na simu anayemdai
Huyu dada kaja na tax anaamrisha kaa bosi wa polisi.
Wakachukua tukafika.
Tuko kituo . A natoa Amri apelekwe Segerea . Basi polisi mwI ngine anamwelekeza yeye hakubali.
Walimlaza ndani . Kesi ikaenda . Huyo dada haki mahakamani . A mwisho tukalipa fain.
UhaYaani m tupuuu
Bashite naamini litakupata tu kwa laana za watu. Raisi kimyaaa
Post a Comment