Pale unapolazimishwa kuowa halafu moyo,nafsi vyote havitaki!!
Kuna vitu vinachekesha ila si vya kucheka..,
Yaani huyu baba analia mwanzo mwisho.,
Hizi mila nyingine hizi ni tabu tupu tu sasa kuna raha gani kuolewa na jibu linalia yarabi mwanzo mwisho.
Aisee kuna wakati tunawawish watu the best of luck kumbe tunawepeleka kwenye matatizo tu.
2 comments:
Anonymous
said...
Mwanaume kakubali kumuoa huyu dada kwasababu raia wamempa kichapo cha kutosha. Yaani ndoa ilivyo ngumu hata wawili mkipendana na kuheshimiana, hapa si itakua balaa? Hio miaka kumi ya uhusiano wao,hajawaza kumuoa ni dalili tosha. Huyu dada hastahili kudhalilishwa hivi ili kusema naye kaolewa. Angesubiri tuu atakayempenda kwa dhati. Life is too short to settle for a marriage and life of suffering, MissY.
2 comments:
Mwanaume kakubali kumuoa huyu dada kwasababu raia wamempa kichapo cha kutosha.
Yaani ndoa ilivyo ngumu hata wawili mkipendana na kuheshimiana, hapa si itakua balaa?
Hio miaka kumi ya uhusiano wao,hajawaza kumuoa ni dalili tosha.
Huyu dada hastahili kudhalilishwa hivi ili kusema naye kaolewa.
Angesubiri tuu atakayempenda kwa dhati.
Life is too short to settle for a marriage and life of suffering, MissY.
girl I know you so right..... but this was kinda funny for real!!
Post a Comment