Finally am back in ulaya.com and i have been working like crazy nahisi Snow ilikuwa inanisubiri gadem imeninyoosha๐๐๐๐ ๐ ๐ anyhow New Week New Challenges.
Kumbuka hakuna kitu kinakuja tu bila wewe kujituma.
Hakuna kitu kitamu maishani mwako kama cha jasho lako.
Hakuna kitu muhim kama kujitambua na kujua unataka nini Maishani.
Hakuna kitu utapata kama utakuwa unamchukia yule anayejituma na kula cha jasho lake au kuchukia maendeleo yake,trust and believe.
Mwishoni haya yote hivi vyote tutaviacha siku ntakayofariki so cha msingi kaa vizuri na watu,tafuta amani ya moyo,kuwa na piece of mind,mpende akupendae na ipende familia yako,kuwa na harmony,furaha na usimsahau Sir God,Nimemaliza.com!
8 comments:
A Big AMEEN
Yaani umerudi mamtoni hujasuka? Why? Nywele zitapumua tyu una nywele nzuri sana. Winter habari nyingine natamani nifumbe macho nifumbue spring iko katikati kuelekea summer. Ila likizo umefaidi nilidongekaje??...CinTea
Daa nakupenda wewe mpaka basi yaani umeongea ya maana sana na ukweli mtupu. Mashallah nywele zako nzuri sana Nuru shombe shombe baby hahahaha zangu naacha kulainisha na marelax wallah niwe na natural. Your so beatuful Nuru.
Thank you anon 6.18 ❤ ❤
Bintinyota unaendeleaje?
Cintea hahahahh ahsante ntasuka tu maana baridi
afu da nuu ujue nahisi una halisi ya shombeshombe wewe au macho yananidanganya
Uko sahihi mi ni shombeshombe baby in bob juniors voice!lol
Long Vacation, ume enjoy vya kutosha. Baridi bado iko, na hilo jua bongo nasikia si la kitoto mvua zimegoma.
Umepiga rasta za kimasai. lol
AM....
Unanywele shoga.zingekuwa zangu wangenikomaaa
Post a Comment