Magufuli kama anaangalia hii halali. Maana alikuwa anatupa mawe gizani alipo ongea na Diamond. Alianza kusifia watoto a kamaliza wasanii at awasaidie na hao bongo movie pia. Mwache ni aingie kwa KUJIAMINI. Yuko jasiri kapitia Mengi. Tanzania ukiwa na wa kukusimamia ingia kwa kujiamini kama Bashite na cheti hana
4 comments:
Kweli mbwembe za Wema!!.
Na hizi mbwembwe za Wema!!
Ila huyu binti seems to be funny
Watanikamataa!
Magufuli kama anaangalia hii halali. Maana alikuwa anatupa mawe gizani alipo ongea na Diamond.
Alianza kusifia watoto a kamaliza wasanii at awasaidie na hao bongo movie pia.
Mwache ni aingie kwa KUJIAMINI. Yuko jasiri kapitia Mengi. Tanzania ukiwa na wa kukusimamia ingia kwa kujiamini kama Bashite na cheti hana
Post a Comment