SERENE HOTELS AND APARTMENTS..,
HE WAS SUCH A SWEETHEART AS SOON AS WE CAME HE CLEANED THE POOL FOR US AND ME AND HIM WE HAD A CHAT HE WAS SO FUNNY,,.
THIS PLACE WAS REALLY COSY AND QUITE PLEASANT.,,
IT WAS ACTUALLY ONE OF THEE CHEAPEST POOLS I HAVE EVER SWIMMED IN AND FOR DAR ES SALAAM THAT IS RARE TO FIND.
THE STAFF WAS OK BUT THE POOL GUY IS THEE MAIN ATTRACTION CAUSE HE REALLY TAKES CARE OF THE CUSTOMERS.
I HAD A CHANGE TO LOOK AT THE ROOMS AND I GOTTA TELL YOU FOR THAT PRICE TO WAKE UP NEXT TO THE BEACH AND THE POOL IT IS NOTHING.
ALL IN ALL I WILL DEFINITELY RECOMMEND THS KA-PLACE TO ANYBODY ANYDAY!!
HII SEHEMU ILIKUWA THE CHEAPEST POOL YAANI SEHEMU YA KUOGELEA AMBAYO MTOTO NI ELFU TATU NA MKUBWA ELFU TANO KWA DAR HAKUNAAAAA NI KUANZIA KUMI KWENDA JUU TENA HATA KWA MTOTO.
HII SEHEMU NI BAADA YA RAMADA RESORT UNAIKUTA KAMEJIFICHA KIDOGO ILA NIPAZURI.
WALINIONYESHA VYUMBA VYAO SEMA SIKUVIPIGA PICHA NA KWA KULALA NA KUAMKA HUKU UKIONA BAHARI KIUKWELI NI BEI POA SANA.
WALICHONIANGUSHA NI KWENYE SWALA LA MENU,KILA UNACHOULIZA UNAAMBIWA HAKUNA AISEE HICHO TUU NDIO MINUS ILA STUFF NA POOL GUY WALIKUWA WACHESHI SANA ILA WADADA WA RECEPTION NI MAJANGA YAANI MAJANGALISATION NDIO HAYO KUWEKA NDUGU HALAFU ZERO UWEZO WA UTENDAJI.
KAMA UPO TANZANIA NENDA UKAOGELEE KWANI POOL YAO NI SAFI NA BEI POA.
7 comments:
Nuru I just love you family and your life style. Nimejifunza mengi kutoka katika familia yako. Mungu aendelee kuimarisha umoja wenu.
nice very nice
Binafsi nakupenda tu na kila siku naingia humu kujifunza and Nuru una body mzuri
Good experience hun.
Totoo naona wewe huvutiwi na hii Family like me!! MashaAllah Allah awazidishie mapenzi zaidi.
Ila Light hiyo Beach Dress ni maugonjwa huku!!! Kama niibe Wallah duh!!!
i really love how close you all are as a family....yaani ni raha mapenzi tele hakuna unafiki wala umbea, lol....btw, nuru i love that maxi dress mami umenunua wapi please?
Ameen ameen..,
Kuna lifala limoja liliniandikia kuwa niko na fam bcoz sina marafiki sasa kama familia yako sio rafiki zako wewe si laanakum kwamba unawajali wan fulani kuliko ur blood.
Fact is tumekuwa tukiishi hivi ila sikuwa naonyesha humu kwani mda wake ulikuwa bado.
Ahsanteni wapendwa nnafurahi kuwa mnajifunza pia and my maxi nlinunua duka moja ndani ya mall of scandinavia but sikumbuki jina la duka na wana online shop aswell nikijua ntakwambia usijali.
Hahaha Bintinyota na hilo hips lako yerewiiii
da nuu m nasubiri tips za kutoa weusi jmn,
beach wengne kwenda noma weusi tatizo
Post a Comment