Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, March 27, 2017

HARMONIZE X WOLPER X ZARI,BEHIND THE SCENES!!!

Halafu Tiffah si mtu wa sporti sporti maana kamlock aunty Wolper ndani ya gari hahahhahahah.,,
Maskini Wolper anahangaika kuwafundisha fashion wenzake wanajiona tayari wanajua.,.,
Sijaelewa the scene pale Wolper na Harmonize wako kwenye gari halaf yeye anamwambia Nipige,nataka unipige👀👀 I mean iko so wrong in so many levels
Abuse is not something to joke around wiht au kukichukulia lightly pliz kwa wasichana mnaotizama mengine msiyaige kabisa
Harmonize siku hizi kawa mzee wa mbwembwe nyingi.,
And Mavoko hivyo ndivyo alivyo ukiwa nae utacheka kila mara,a funny fell!

No comments: