IT!S LIKE A POSTCARD,SO BEAUTIFUL.
WE GOT YOU HAA!!
TUKAMLIA TIME TUKAMPA DOZI YAKE,LOL.
AND THAT!S OUR MBUDYA EXPERIENCE INSHORT AND IT WAS ABSOLUTELY AMAZING.
THE VISUALS SPEAKS IT!S OWN LANGUAGE BUT TO SEE IT WITH YOUR OWN EYES IS A WHOLE DIFFERENT THING.
THANK YOU GOD FOR GIVING ME A CHANCE TO SEE THE WORLD THAT YOU CREATED AND ALSO MAKE ME UNDERSTAND THAT I AM A PART OF SOMETHING BIGGER THAN ME.
Namshukuru mungu kuwa naweza kuexperience vitu tofauti na kuweza kufanya vitu tofauti kwangu mie binais but pia na familia yangu.Kuna watu wako Tanzania lakin hawatokuja kufanya vitu kama hivi kwani mazingira yao na uwezo wao hauwaruhusu so nlikuwa nikiwaelewesha watoto wa my brother kuwa waelewe kuwa sio kila mototo anaweza kuexperience so waelewe na washukuru kuwa wako privileged kwani baba yao anajituma kuwapa kile anajua wanahitaji maishani mwao.
Kuna mda tunahitaji ku-pause na kutizama juu na kumwambia Baba God ahsante kwa chochote kile alichokujaalia,kwani pengine unaweza kukiona ni kidogo lakin yuko mwengine ambae hana kabisa au anatamani kuwa hata na robo ya kile ulichokuwa nacho wewe.
Sema Ahsante kwakuwa unamaanisha na sio kusema Ahsante just because.
AHSANTE ni neno fupi ila lina maana kubwa sana na unyenyekevu ambao haununuliwi wala kuuzwa dukani popote pale duniani,Nimemaliza.com!
4 comments:
You touch my heart Nuru, ni kweli kabisa uliosema ni kitu cha kumshukuru Mungu kwa kilo kidogo unachokipata kuna wengine hawana kabisa. Sema asante kwa Mungu thannks alots Nuru kwa kushare vitu kama hivi na sisi wadau wako.
pazuri mnooo mlienjoy sana
Ameen Ameen Ameen
Its true Nuru!!!
Mimi hupenda kuwatembeza watoto na katika mashule ya vijijini waone wenzao wanavyotembea peku. Hawana bags, madaftar ktk kifuko cha unga WA Azam, uniforms mgogoro, no school buses yaani tunazungumza nao na kuwahoji maswali!!
Angalia wanavyofurahia pipi na juice!! Sad!!!
Ni kweli tumshukuru Allah kwa nafasi alizotupa. Ameen
Am with you my people,nawapenda na tuko pamojah 😙
Post a Comment