Wana mboga za majani nzuri sana kwavile mmoja wetu ni vegetarian so ilikuwa poa tukija hapa anapata mboga mboga za kila aina.Nimeanza kupunguza kula nyama sana maana nikiwa Tanzania huwa nakula nyama zaidi kidogo ya huku mimi sio mla nyama sana ila my la familia ni wala nyama wazuri sana.Maybe baadae ntakuwa 100percent vegetarian au nitoe nyama niwe nakula tu samaki.
Ukiwa Tanzania na unataka kuona mastaa hii ndio sehemu yao maana wifi yetu alikuwa ananichekesha oh nimemuona Shishi,Lulu,Martin,Wema na wengine kwavile anasoma blog kashajua sura zao na siku hii aliwaona wote hahaha.,
Watoto waliogelea huku ss tukipiga stori n have a drink at Next door.
Mtoto kuogelea ni 20,000 ila wakatupunguzia 15kwa kila mtoto maana tulikuja jioni.
Nightclub yao ni nzuri na vyoo vyao ni visafi kupitiliza.
Next Door is a nightclub but also has a pool and and a bar where you can come n just chill or swim.
For a kid to swim here coasts 20,000tzshillings and at night the entrance to enter the nightclub is 10k and vip20k.
1 comment:
Nuru panaitwaje sasa hapa? Tuwekee na jina please.
Post a Comment