Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, March 29, 2017

AHMED AND KHAIRA!S LUNCHEON,ZANZIBAR!!! FULL RAHAAAAAA.,.,

 MA EGYPT AIR WANGU IN THEIR ATTIRE..,

 MAMA MZAA CHEMA SHE WAS SO HAPPY,MOTHER OF THE GROOM Mother and Daughter..,


 With Mikey Mike and my cousins children..,

 Sikupaka kitu chochote usoni maana nlijua usiku holini ntapaka make up.,
See you later at the Hall folks..,
walikuwa wanaenda kuvaa kwa my cuzz na kupambwa kwa baadae holini.

 Jamani hii HALWA ilikuwa tam balas nilikula nusu sinia peke yangu..,


 MENU.COM!!

On the same day of the wedding the day started with Lunch where am sure 100 people were invited to have lunch and later on in the evening to continue at the hall the pictures that i posted yesterday.
The lunch was intimate and the invitees were family members,close friends to the family and neighbours since some travelled from far to attend the wedding.
Personally i felt that people really enjoyed themselves at the lunch and let loose which was refreshing to see and the celebration continued later on at the hall.

Siku ya harusi mchana kulikuwa na Lunch ambayo ilikuwa na waalikwa maalum ambao nadhan 100 wanafika na ilifanyikia nyumbani kwa bwana harusi kwa wazazi wake na sio kwake atakapoanzia maisha na mkewe.
Kwenye lunch kulikuwa na chakula offcoz na waliserve biryani,ndizi mbivu,makorokoro kibao na watu walikula,wakacheza kama mnavyoona na baadae kwenda home kwani usiku tulikuwa tutaendelea tena maana hii ilikuwa trailer.
Waalikwa walikuwa wanafamilia,majirani na watu close kwa familia maana ilikuwa a bit intimate lunch kwani haikufanyiwa holini na kulikuwa na sare kama mmegundua kwenye picha ila mimi nlichelewa kununua sare kwavile tulifika a day before ya harusi zikawa zimeisha..,
Zanzibar nyie ni kiboko kwenye sekta ya Menu.com.

2 comments:

Anonymous said...

Nuu kaka mwenye miwani amevaa shati la dark blue amekaa na Mike ni nani? Nimemzimia....SM

NURU THE LIGHT said...

Mamaaaaaaaa huyo ni mkweeeee mume wa yule nimekaa naye pic nlopost za HOLINI am tholly.,