Wabongo tuko negative Sasa tena sana na tutachelewa sana anonym daah .Unaangalia fursa za wengine tu siungeandika kwa niab yako??? Embu tuwache kuwa na ndoto ya maisha ya KINA FULAN WA INSTAG. Tuote ndoto ningekuwa mie. Alafu maisha ya watu tuyaone ktk picha huwenda anafanya tangazo tu . Tukiwa tuna dream tu jaribu kutaman wa so kuwa na maisha mfano masikini . Wawe nayo tuishi angalau sawa kama nchi zilizoendelea. Usimwaze fulani. Wakati ana: Gari Anavaa vizuri Anakula vizuri Anajikimu maisha atakavyo Ananunua lace wig lulus.. Anasimama mwenyewe TUIGE VITA NEGATIVE MAWAZO
Anony 11:2 I beg to differ,sio kila wazo ni negative mda mwingine ni wazo kwa wenye potential ambao mm nawaona kuwa hiyo kaz ingewafaa, mm kwa nafasi yangu ya unesi ninazo fursa zangu na ninazitumia, je ni nagative kumuonyesha mwingine fursa ambayo naiona na ingefaa?? Tuko humu kwa nuru kwasababu ya kuangalia maisha ya wengine na (njia moja wapo ya kupiga vita negative mawazo ni kusoma kitu in a positive way jaribu kusoma in a positive way utaelewa haikuwa deep kiivyo)
7 comments:
Watu wanaojua kutafuta fursa, hiz zilitakiwa kuwa kaz za akina fulani ila wanatafuta "kiki" insta, siku wakishtuka watajutia sana...
She's gorgeous. She knows it.....
Wabongo tuko negative Sasa tena sana na tutachelewa sana anonym daah .Unaangalia fursa za wengine tu siungeandika kwa niab yako???
Embu tuwache kuwa na ndoto ya maisha ya KINA FULAN WA INSTAG.
Tuote ndoto ningekuwa mie.
Alafu maisha ya watu tuyaone ktk picha huwenda anafanya tangazo tu .
Tukiwa tuna dream tu jaribu kutaman wa so kuwa na maisha mfano masikini . Wawe nayo tuishi angalau sawa kama nchi zilizoendelea.
Usimwaze fulani. Wakati ana:
Gari
Anavaa vizuri
Anakula vizuri
Anajikimu maisha atakavyo
Ananunua lace wig lulus..
Anasimama mwenyewe
TUIGE VITA NEGATIVE MAWAZO
ZARI UNAPEWA NGUO NYEKUNDU NA NYEUSI DAAHHHH
MPĂ…KA UMEPOKEA MWELEKEO WA MACHO
ITABID NINUNUE MAWANI 3D
I adore her
Anony 11:2 I beg to differ,sio kila wazo ni negative mda mwingine ni wazo kwa wenye potential ambao mm nawaona kuwa hiyo kaz ingewafaa, mm kwa nafasi yangu ya unesi ninazo fursa zangu na ninazitumia, je ni nagative kumuonyesha mwingine fursa ambayo naiona na ingefaa?? Tuko humu kwa nuru kwasababu ya kuangalia maisha ya wengine na (njia moja wapo ya kupiga vita negative mawazo ni kusoma kitu in a positive way jaribu kusoma in a positive way utaelewa haikuwa deep kiivyo)
Well said anon 11.11,,,
Post a Comment