Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, February 6, 2017

WHEN THE TIME IS RIGHT THE TRUTH ALWAY!S SEPARATE ITSELF FROM THE LIES!!!














 BOYS AT WORK,,,,

 I LEFT THE BOYS AT WORK WHILE STEPPIN OUT A BIT,,
NILIWAACHA VIJANA WAKIFANYA KAZI KWENDA KWA COUSIN YANGU MARA MOJA,,






 WITH MY BROTHER IN LAW A.K.A MKWEEE,,




THANK YOU COUSIN FOR A LOVELY MEAL!!
HAPA NI NYUMBANI KWA COUSIN ANGU NLIALIKWA TUKALA HUKU VIJANA WAKIFANYA KAZI NA TULIPOMALIZA TUKARUDI KWANI HAKAI MBALI NAMI,,





WANAPOSEMA LISEMWALO LIPO AU LINAKUJA MIMI BINAFSI SIKUBALIANI KAMWE NA HUU USEMI NA ASEMAYE HIVYO NI EITHER ANAKUOMBEA MABAYA AU ANAKUTAKIA MABAYA KWANI DUNIA HII
 MTU YOYOTE TIME YOYOTE ANAWEZA KUKUTUNGIA LOLOTE NA WATU WAKAAMINI.
LISEMWALO HUANZA NA MTU MMOJA AND THEN KUSAMBAZWA SASA IT ALWAYS COME DOWN TO YULE ALIYELIANZISHA JE INTENTION YAKE NI NZURI AU MBAYA?
KAMA NIA YAKE NI KUHARIBU JUA ITAKUCHUKUA MDA KUURUDISHA UKWELI ILA UKWELI ALWAYS NI MSHINDI NO MATTER THE TIME SIMPLY BECAUSE UKWELI CAN NEVER BE EDITED.

KUNA WATU WAMEUGEUZA UKWELI NA KUUFANYA UWONGO KUCHUKUA NAFASI KUBWA MNO KWENYE MAISHA YAO NA HATA KWA WENGINE,,
YOU SEE MUONGO HAWEZI KUKUPA UKWELI SIMPLY BECAUSE HE OR SHE CAN!T,,
BUT KUNA WATU WASHAFANYA UWONGO KITU KINACHOWAPA RAHA,FARAJA NA AMANI YA MOYO SO HOW CAN YOU FIGHT MTU WA HIVI AMBAYE ANAFARIJIKA KUONGEA UWONGO FROM MORNING TILL NIGHT,TAFAKARI!

FROM MY OWN PERSONAL EXPERIENCE NAJUA KUWA UKWELI HUWA MSHINDI NA MWISHO WA MTU MUONGO ALWAYS NI AIBU,NISHAYAONA NA KUSHUHUDIA!
KWA YEYOTE YULE KWA WAKTI HUU AMBAYE ANAPITIA MTIHANI KWASABABU YA UWONGO NA CHUKI ILOANZA NA MTU MMOJA NAKWAMBIA NA NAKUSIHI KAA KIMYA ENDELEA NA MAISHA YAKO,MAJUKUMU,NDOTO ZAKO,GOALS ZAKO NA TRUST ME MDA SAHIHI UKIFIKA BASI JUA KUWA UKWELI UTAJULIKANA TU.
IPO SIKU YAKO AMBAYO UTABARIKIWA NA UKWELI NA WANADAMU WATAJUA.COM!!


3 comments:

Anonymous said...

Maneno kuntu Nuru, Yameniingia kisawa sawa na yameifanya asubuhi yangu kuwa nzuri. Hujui tu umenigusa au kunizungumzia kwa kiasi gani. Barikiwa sana my dear. By the way I love the dress, inakupendeza zaidi ukivua koti my. Good day to all (Nuru the light fans). Winnie

Cute Olive said...

pamependeza Nuru hongera na maneno kuntu ni kweli palipo na ukweli uongo hujitenga. kadress kamekupendeza sana

NURU THE LIGHT said...

Ahsanteni wapendwaaaaaa😙😙😙