kimdomo cha wema hicho hata ajifiche vipi ila huyu mdd sijui atakuwa na washawasha uko chini mana hatulii afu nimegundua ana ugonjwa wa kupenda mahandsom tu ila sasa hao mahandsom hawana true love nae, pole yake ila angetulia angefanya makubwa sana tu na kutafuta wa kimyakimya wala asimtangaze wala nini, watu wangetafuta mpk basi tena angewaambia na hao matimu yake kuwa sitaki mtu wangu awekwe hadharani,
2 comments:
hivi huyu binti atakua lini??????? elimu ni muhimu wasichana wenzangu, asiwadanganye mtu elimu hata ya diploma ni muhimu, khaaaaa aibu
kimdomo cha wema hicho hata ajifiche vipi
ila huyu mdd sijui atakuwa na washawasha uko chini mana hatulii afu nimegundua ana ugonjwa wa kupenda mahandsom tu ila sasa hao mahandsom hawana true love nae,
pole yake ila angetulia angefanya makubwa sana tu na kutafuta wa kimyakimya wala asimtangaze wala nini, watu wangetafuta mpk basi tena angewaambia na hao matimu yake kuwa sitaki mtu wangu awekwe hadharani,
Post a Comment