Hahahahah comfort mazoezi jamani,,swim,Tembea na situps Ziko excersice za tumbo hata 10min a day unafanya combine na hivyo vya juu unatoa soon naanza mimi mwenyewe,,
Natembea sana tu ila kuswim sijui labda nitafute mwl.nielekeza diet ya kutoa tumbo loh!!na hizo excersice za tumbo.bora nibaki nakimoja yan tumbo kubwa titi ndy usiombe bora tumbo liishe nibaki na titi haaaaaa.
3 comments:
Jamani watu wanatoaje tumbo km huyo hapo tumbo flat.yn tumbo langu na mwili haliendani kabisaaaa had nachoka.
Hahahahah comfort mazoezi jamani,,swim,Tembea na situps
Ziko excersice za tumbo hata 10min a day unafanya combine na hivyo vya juu unatoa soon naanza mimi mwenyewe,,

Post a Comment