Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, February 9, 2017

TANZANIA YA SASA SI YA JANA,JIFUNZENI KUWEKA VINGINE MOYONI WAPENDWA!!



POLENI MILLARD AND MICHUZI,,
HII WIKI TUMEONA MENGI KUPITIA THESE PEOPLE BUT PERSONALLY SIKUONA NI SAHIHI KWA MICHUZI NA MILLARD KU BROADCAST LIVE NDANI YA MAHAKAMA WAKATI KINA TID,RECHO,TUNDA,ROMMMY AND SO ON WAMO MULE THAT WAS UNETHICAL,,
LAZIMA KUWE NA MIPAKA HATA KAMA HAWA NI WATU MAARUFU LAKINI HIZI PICHA ZITAKUWEPO WAMECHUCHUMAA FOR THE REST OF THEIR LIVES AND HATA MIMI LAZIMA NIJIFIKIRIE AT TIMES NDIOMAANA KUNA VITU NAKUWA MZITO KUVIWEKA NA SIO KAMA SIJUI VIMETOKEA LAKINI HAINA HAJA KUVIONGEELEA KWANI TAYARI YALIYOMKUMBA ANA MENGI ANAYOPITIA..
SIO KAMA SIJUI VITU NAJUA MENGI NA WATU AT TIMES WANAKOMENT MAMBO AMBAYO NAJUA HATA KESHOKUTWA WATAINGIA KUNISEMA MIMI SO SINA HAJA YA KUWAPA UWANJA WA KUANIKA CHUKI ZAO,,
WATANZANIA SASA HIVI WENGI WENU MMEVUKA MIPAKA YAANI MMEKUWA WEPESI SANA KUONGELEA MAISHA YA WATU MITANDAONI I MEAN NANI AU KIPI CHA AJABU AMBACHO UONE UMUHIMU WA KUMUONGELEA MWENZIO?
MTU UNAPOTEZA MDA KUINGIA PAGES ZA WATU NA KUANZA FLANI IS SI AND SO REALLY?
HAYA YOTE YAMEANZA BECAUSE YOU TALK TOO MUCH MPAKA KUINGIZA WATU AMBAO HAWAHUSIKI HALAFU YOU GO WAMEONEWA SO KOSA NI LA NANI MAANA AKIFANYA KOSA ASIPOFANYA KOSA,,
IT IS TIME MTANGAZE ROLEMODEL NA MFOCUS NA SOLUTIONS,,
IT IS TIME MBADILIKE YAANI MNAONGEA KIASI MPAKA HIYO NDIO IMEKUWA SIFA YENU INSTEAD OF PEOPLE SAYING LILE TAIFA NI HODARI KWENYE SCIENCE AU BIASHARA.
KUWENI NA UMOJA SASA HIVI MAANA LEO HUYU KESHO WEWE.
SASA HIVI NCHI NA UONGOZI UMEBADILIKA ONGEA BUT ONGEA KIAKILI.
ONGEA VITU AMBAVYO VINA MANUFAA NA NI HAKI YAKO KUVISEMA.
KUONGEA KILA MTU ANAJUA KUONGEA BUT UNAAMBIWA KWA LUGHA YA WENZETU KUWA IT IS NOT WHAT YOU SAY BUT HOW YOU SAY IT,NIMEMALIZA.COM!,

5 comments:

Anonymous said...

Nimesoma paka mwisho sijaelewa!
Msaada pls

NURU THE LIGHT said...

nahisi ile ya wao kurekodi kortini with the instangram live casting na watu wakitizama na kukoment as if ni show pale walivuka mpaka nadhan hicho ndio kilichowaponza,,,

anonymus said...

Kweli the light bado tunatatizo la kujua ethical issue katika profession nyingi...tutakariri tufaulu mitihani tu baada ya hapo tunamuachia lecture...!mwamini

Anonymous said...

Well said Nuru, Millard disappointed me on that front.He is one of the few proffessional journalists in Tz he should have known better.Luv u

Anonymous said...

Kazi ya kuwa katika vyombo vya habari bila elimu zaidi ya kutumia umaarufu.

Mie nimeipenda hii segment,umewaeleza kiuhalisia ..sio kila i,
kitu ni cha kuelezwa ,unethical or ethical utaipata ukiwa na knowledge ya mambo ya vyombo vya habari.

Asante Nuru

dottie