I love fashion critiques but people fail to understand kitu kimoja, ishi kwa mfano. Sio wewe uwe unonymous afu uwe unacritisize wenzio. Watu walikuwa wanamueleqa Joan rivers coz walikuwa wanamuona so unajifunza co hawa fashioncops mizengwe, we useme wenzio afu wewe uko umejifungia hatukuoni,mbona akina Nuru na misspopular tunawaona?na tunawaelewa tu. Kwa jina lingine mi naona mtu anaefanya hivyo wakat yeye hatumuon ni bully tu.
5 comments:

Umemkomesha kazi kupangiana maisha tu
watz bwanaaaaaa.......sijui ni kukosa elimu au umasikini umekula mpaka ubongo yaani so sad
Thank you anon wa kwanza kwa kunielewa,,,
Ndio hao wenye fake account za kutukania watu. Kwakutowa kasoro wanzao.. Kama unajiamini kwa nini uwe na fake acc.
AM...
Post a Comment