Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, February 15, 2017

MY NOTE TO KIGWANGALLA!!!



Kwa wanaofurahia hiki kitu jua kwamba ILIMRADI akikutwa Mumeo,Mke,Mtoto,Ndugu,Baba au Mama yako usirudi kuipigia kelele JamII but Deal with It.
Kuna vitu vina uzito na viko very serious and very deep,tushayaona na kushuhudia!
Lets say wanamkamata  mume wa mtu ambaye anafamilia so hapo wanamkomoa nani?
The Shame and The pain meaning Ile Aibu na Maumivu ya mke kujua na watoto kuwa baba yao anapenda kutembea na wanaume wenzake je huo mzigo ataubeba yeye WAZIRI?
Kukurupuka na kukitizama kitu kwa urefu ni vitu viwili tofauti.
Ni bora tu mtunge sheria kuwa ushoga is a crime kama hiyo sheria haipo tayari and then go from there but hata ikiwa sheria kwani hatuna wizi wanaojua kabisa kama KUIBA ni kosa na bado wanaiba?
Dont play with peoples Sexuality maana when it comes down to it this is just about Sex and WHOM you choose to have Sex with.
Hamjatizama kama huyu ni raia mwema,amecontribute vipi kwenye jamii but only mmemjudge na mtu anayechoose kukutana nae kimwili.
Halafu mkiwajaza magerezani then what!s next?
Serikali hii inaonyesha wazi kumekua na A Manhunt of different things to mankind and its citizen.
Sasa hivi unaweza hata kuulizwa je kwanini umejenga yaani kuna baadhi ya vitu ambavyo majibu yako wazi kabisa and still unaulizwa kwanini?
Sawa Ushoga hamuutaki but Tumieni mbinu ambazo hata wao waone sawa hatukubaliki but tutajaribu kufuata utaratibu wa nchi lakini starting a Manhunt that is not the way to go about na juweni kabisa doing that mtaumiza wengi kuliko hao mtakaowafurahisha,sijamaliza.com!
Elimu mbovu,Chakula shida,maisha magum, uchumi wenyewe ndio hivyo na hospitalini watu wanahangaika si dokta si mgonjwa kweli you choose kukipa hiki Kipaumbele?
WHAT is a Nation without Elimu Bora ambayo ni haki ya kila Mtanzania?
Kingine hii sio vita Bali A Manhunt,but Good luck cause ill be watching.com!!

4 comments:

Anonymous said...

Mola Tusitiri kwa hili.
Nadhani wangefanya tobacco na kuona wasitirike na hili janga. Unamtangaza mtu ghafla wa kwako yupo sijui waziri utajinyonga au.
Hakuna mzazi anayepanda au anayepa wish hili.

Tanzania wanapigana na vitu bila utaalamu wa kazi.
Ni sawa na madawa walianza kwa kasi isiyomaana

NURU THE LIGHT said...

Point!

Bintinyota said...

Tatizo viongozi Awamu hii wanakurupuka. Kila MTU find a way to be a Hero!!!

Hivi!! Elimu bora ikiwepo, huduma bora kwa kila Mtazania zikiwepo, ukijituma kufanya kazi unaona the outcomes sake, why uwe Shoga? Why uwe mwizi? Why uwe hoe?

Sasa hivi maisha yamekuwa magumu kiasi MTU anaamka asubuhi hajui aelekee wapi! What do you expect? Where to get easy money? Una kiduka chakuuza sigara, leseni laki moja, manispaa kila mwezi alf7, usafi WA jiji wakupitie daily (ndo haohao manispaa)!

Kila kiongozi anakukandamiza anavyoweza, well!! If its a true War let it be, and if its a manhunts!! Make sure the list is well organised coz kuna mchicha mwiba mko nao!!!!

Hizi dramas zote zimekuja baada ya wanafunzi kufeli sana, na Serikali haina chakutudanganya, wakazima sooo.

All the best to our family breakups!!!

Cute Olive said...

Hivi ushahidi wake unakuwaje hapa maana naona kudhalilishwa kwa watu. atafute namna na ya kudeal na ishu hii aisse tutaona mengi awamu hii