UMENENA MANENO MAZURI ILA UMESAHAU MENGINE. NA SIZANI KAMA KUNA MAKOSA KUSEMA MLILIPWA AU WALILIPWA HUKO NI KUTUJULISHA MNANUNULIWA. BADALA YAKE KUKIPENDA KITU TOKA ROHONI NA KUJUA KINATUNUFAISHA .MNAONA BORA MNUNULIE MPEWE VISENNT AMBAVYO HAVINA FAIDA . NA MNASAHAU WENZANGU WENYE SHIDA WANAUMIA NA KUTESEKA
HIZI NI SABABU YAKUTOKUFIKA: KINACHOWACHELEWESHA WALIPOFIKA WANIGERIA NI: HAMPENDANI HAMSHIRIKIAN WANAO JIONA WAZURI NDO WANAJIONA KUTOLEAN USHAHIDI. KUSAHAU MEMA YENU NA KUSEMEZEANA MABAYA.CHUKI BINAFSI.ROHO MBAYA
USHAURI KWANZA UNGANENI MAGWIJI WOTE MLOWAHI KUTOA FILM NZURI MWANZONI KISHA MUWE KITU KIMOJA NA KUCHEZA FILM PAMOJA. ACHE NI MAJUNGU,KUONEANA WIVU, REKEBISHANEN, MSISESEMANE . BILA HIVYO MTAHANGAIKA KUUZA SURA .HAKUNA BINADAMU MKAMILIFU .
2 comments:
Nimempenda bureee
Siyo juzijuzi tulisikia hakuna msanii atalipwa pesa za kampaini
UMENENA MANENO MAZURI ILA UMESAHAU MENGINE.
NA SIZANI KAMA KUNA MAKOSA KUSEMA MLILIPWA AU WALILIPWA HUKO NI KUTUJULISHA MNANUNULIWA.
BADALA YAKE KUKIPENDA KITU TOKA ROHONI NA KUJUA KINATUNUFAISHA .MNAONA BORA MNUNULIE MPEWE VISENNT AMBAVYO HAVINA FAIDA .
NA MNASAHAU WENZANGU WENYE SHIDA WANAUMIA NA KUTESEKA
HIZI NI SABABU YAKUTOKUFIKA:
KINACHOWACHELEWESHA WALIPOFIKA WANIGERIA NI:
HAMPENDANI
HAMSHIRIKIAN
WANAO JIONA WAZURI NDO WANAJIONA
KUTOLEAN USHAHIDI.
KUSAHAU MEMA YENU NA KUSEMEZEANA MABAYA.CHUKI BINAFSI.ROHO MBAYA
USHAURI
KWANZA UNGANENI MAGWIJI WOTE MLOWAHI KUTOA FILM NZURI MWANZONI KISHA MUWE KITU KIMOJA NA KUCHEZA FILM PAMOJA.
ACHE NI MAJUNGU,KUONEANA WIVU,
REKEBISHANEN, MSISESEMANE .
BILA HIVYO MTAHANGAIKA KUUZA SURA .HAKUNA BINADAMU MKAMILIFU .
Post a Comment