Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, February 21, 2017

FARVÄL MIN KÄRA ZANZIBAR!!!






















 OH FURSANAAAAAAAA,,,





After being in Zanzibar for almost ten days it was time to leave for La familia and Moi.
They stayed at Coral Rock where as me the adventurer took my own path.
It was lovely being here and seeing different sites and got to learn more about the history i am definetly going to be doing more of that but thee Dream is to swim with the Dolfins before I die.
This was our story and until next time Zanzibar will have a special place in our hearts.

Baada ya kukaa Zanzibar takriban siku kumi mda ulifika wa kuondoka na kurudi Dar.
Kiukweli nimeexperience mengi na kujifunza historia na next time nitakaporudi nataka kuswim na Dolfins hiyo ni ndoto yangu.
La familia wao walikaa hotel inaitwa Coral Rock ni pazuri sana na pametulia.
A tip mkibook vitu mapema lets say miezi tano au sita kabla mtapata bei nzuri za vitu vingi kuanzia tiket mpaka hotel especially nyie mlio na familia.
Mfano mzuri la familia walipata bei nzuri mno chini ya elfu kumi na tano ya kiswidi kwa familia nzima kwa siku kumi hotelini ni breakfast tu ilikuwa included lakin lunch na dinner juu yao ila kwa a family kwa bei hiyo that is a Good Deal.
Trust me i know kusafiri na family kutoka nje kuja Tanzania ni hela nyingi mno kuliko mtu akisafiri Europe to Europe au hata Marekani hiyo ndio reality.
Kwa ubaya nchi zetu bado hawajajifunza kuweka packaging nzuri za family ili mtu aweze kuafford but with time watajifunza tu.
Nimeona alot of you mnataka tips on how and where pakwenda and so on so nitafanya a special segment iwe post ya kipekee i think hicho ndio kitakuwa kitu kizuri zaidi na nitahitaji msaada kwa wadau na mtu yoyote mwenye tips za vitu tofauti,Kärlek!!!

9 comments:

Anonymous said...

DADA NURU HONGERA UNAIPENDA SANA FAMILIA YAKO,NATAMANI NA MIMI INGEKUWA HIVYO

comfort said...

Hilo shati Nuru umeshona au umenunua?

Totoo said...

Trust me Nuru kuswim na dolphins ni experience nzuri na unavyopenda Maji utafurahi. Thanks kwa tip ya kufanya booking mapema. Zanzibar it's a place for vacay..

Anonymous said...

Duh mlijoy sana Nuru, ila hiyo bendera inayopepea nyuma yakooo mmmmmmh!!! Winnie

Bintinyota said...

Well said Nuru.

Nimemiss kukuona in shaa Allah next time. Now Niko matibabu nje ya Zanzibar. Hope to be back end of month

Anonymous said...

Shukrani tuweke ee sehemu za kwenda nzuri na bei nzuri, hud uma nayo nzuri

NURU THE LIGHT said...

Nimelinunua 10tzshillings Zanzibar sasa njoo Dar ni kuanzia 15,18 na airport wanaliuza 50thousand tzshillings yule dada nilimwambia kama wizi huu umezidi,,
Bintinyota mungu AKUPE wepesi na umalize salama ameen tutaonana tu usijali,,
Tutaweka Segment baadae ya tips,,Pamojah

Anonymous said...

Safi sana Nuru love u mingi mingi tu.

comfort said...

Mle makumbusho ya Taifa wanaliuza 40000Tsh yaani ni zaidi ya wizi