Na siku nyengine ukiongea hivi inaonyesha picha gani kwa mama mtoto wako,,
Mtu kakuzalia watoto wawili halafu unamuongelea hivi that is not cool at all..
Kama wewe hujiamini thats you halafu Sura sio DNA,FYI!!!
Waliongea wee lakin wapi mwisho wa siku Yaliumbuka yenyewe hilo ni somo Tosha.
4 comments:
SIFA zinakuw . Mjinga na ushamba juu.
Yaani mwanaume hata hawazi mwanamke wake atajiskiaje. Mi nilivyoelewa anaongelea character ya mwenzake anavyoiona. Usimpe shetani nafasi hivyo. Hata kama kweli una mashaka, usiyaongelee hadharani. Si kuna DNA test available kama unataka uhakika. Work on your relationship for your kids sake. You are both their parents no matter what happens with your relationship. Moyo wangu ungekuwa na uchungu sana mume wangu angenisema vibaya hivyo, MissY.
DNA test Dee hawezi kufanya koz yy mwenyewe hajiamini!!!
Huyu tatizo Class!!
Zero brain ni shidaa.
Ila Bi ZEE unamoyo WA Maji mama.
Pole sana. Mimi mwanaume kama huyu hanichukuliii Muda Wangu.
Its coz they broke up several times last year.But Diamond likes attention so he knew pple would concetrate on this.Dont be shocked that the 2 planned this whole thing.
Post a Comment