Genuine Nordic Vodka
Wednesday, February 8, 2017
CAR HUNTING#UBER EXPERIENCE!!!
SO MY COUSINS KIDS WERE LIKE AUNTY NURU YOU NEED TO TRY THE UBER IN DAR SO I SAID OK AND LET ME TELL YOU SOMETHING YAANI I DO NOT REGRET IT.
FIRST YOU GET THE APP AND THEN ITS EASIER FROM THERE,,
WHAT I LIKED ABOUT UBER IS THAT THE DRIVER!S WERE ALWAYS VERY PROFFESSIONAL,NICE,WELL SPOKE AND VERY SOCIAL AND THE SERVICE WORKS VERY WELL IN DAR-ES-SALAAM,,TRY IT I HIGHLY RECOMMEND IT,,
WAKATI NIKO TANZANIA NILIJARIBU UBER NA NAWEZA KUSEMA WAKO VIZURI MNOO,,
KWANZA YOU GET THE APP HALAFU UNAFUATA MAELEKEZO,,
IMAGINE KUTOKA KARIAKOO MPAKA MAGOMENI NILILIPA ELFU NNE TU SO HICHO PIA ZINGATIENI KUWA BEI NI NAFUU SASA MKIWA WENGI NDIO CHEE KABISA KWANI SASA HIVI TANZANIA KUPANDA TAXI NI COST KUBWA MNOO ANY HOW IJARIBU UONE CAUSE I DID AND LIKED IT,,
UKISHAFANYA ODA KUTOKA PALE ULIPO KWENYE SIMU UNATUMIWA AINA YA GARI,DEREVA NA NAMBA YAKE YA SIMU ILA KUWA READY SIO UNAIPIGIA UBER HALAFU UNAVAA HAPO UTAFELI MAKE SURE UMESHAVAA UKO READY,,
HILI GARI LA MWISHO NI LA CAR DEALER MMOJA ALINIONYESHA NILIVYOENDA SHOWROOM YAKE INCASE NA MIMI NILITAKA ODA THE SAME,,
BAADAE NIKAANZA MSAKO WA GARI,CAR HUNTING AISEE KUNUNUA GARI NCHI HII NI A BIG HEADACHE NA THAT IS ALL I HAVE TO SAY ABOUT THAT,,
HATA MA CAR DEALER!S WANAMAMBO YA AJABU NOT TO MENTION MADALALI JAMANI SIPENDI KUSEMA NAWACHUKIA ILA I SERIOUSLY DISLIKE MADALALI MAZAFANTAZZ WALITAKA NINYOOSHA ILA NILIPAMBANA NAO ONE BY ONE,,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Pole Nuru yalinikuta December wanakuonesha madalali na kitambulisho wanavyo . Unazunguswa unabaki kulipia bodaboda na ukifika unapewa dalali mwingine tena. NAHISI nyumbani hawajajipanga kibiashara.
Wanakupikea mpk raha ila ...
Japo wanakaraha ila dah .
Dalali Anataka hela ya Udalali Na bei ya kitu anakupa feki basi tafran tupuuu.
kuna siku nlijikuta noah imejaa madalali kisa kuitana ahh kazi kweli kwel,,
Post a Comment