Elimu Inahitajika Tz Watu wasome mambo ya psychitri Psychologi Alcohol abuse Na jinsi ya kuwa thamni Na kuwatrit. Asante Sweden Nilipokuja nilijua vichaa wote ni vichaa . Nikajikuta nasoma kwa undani masomo hayo " fördjuping kurs" Nikajua schizophren na bipolar tofauti yake. Ni kaanza kazi General psychiatr.... Nimejua thamani ya watu . U muhimu wa mtu awe na afya au hana. Niemweshimu ha kumwangalia na kuongea nae huyo mgonjwa kama mzima Tz tunahitaji Vipindi vya Dr phil .Alcohol abuse nk Ukifatilia sana unagundua elimu ziko chinii . Mtu akikoment anaandika Upuuzi bila kujua ah INASIKITISHA. Natamani ningeliagizia Baku toa mafumbo ila naogopa unaweza kubebwa na defenda ukalale huko oo. Inauma sana
1 comment:
Elimu Inahitajika Tz
Watu wasome mambo ya
psychitri
Psychologi
Alcohol abuse
Na jinsi ya kuwa thamni
Na kuwatrit.
Asante Sweden
Nilipokuja nilijua vichaa wote ni vichaa . Nikajikuta nasoma kwa undani masomo hayo " fördjuping kurs"
Nikajua schizophren na bipolar tofauti yake.
Ni kaanza kazi General psychiatr....
Nimejua thamani ya watu . U muhimu wa mtu awe na afya au hana.
Niemweshimu ha kumwangalia na kuongea nae huyo mgonjwa kama mzima
Tz tunahitaji Vipindi vya Dr phil .Alcohol abuse nk
Ukifatilia sana unagundua elimu ziko chinii . Mtu akikoment anaandika Upuuzi bila kujua ah INASIKITISHA. Natamani ningeliagizia Baku toa mafumbo ila naogopa unaweza kubebwa na defenda ukalale huko oo.
Inauma sana
Post a Comment