Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, February 27, 2017

AND ONTO OTHER NEWS!!!




 Hivi hii story ni kweli,,maana nimeona a pressconference WAZIRI wa ardhi akiongea alikuwa a najibu hili ama,am confused.
Hivi Maimartha ana beef na Wema? and why?

1 comment:

sosoano said...

kwani kutoa udenda ni kuvuta unga tu
mbona wengine tukilala tunatoa udenda
aende zake huyo bibi kizee ameona asikikii

ila apa bongo haya yanaoendelea yatakuja kuwatokea watu puani siku zisizo na tarehe