Mmmh, mmmh, mmh, mmh, mmmh. Pride is mankind's downfall. Ni hivi, Mungu anapewa sifa au tunasahau na kujisifu kama vile tumejipa uhai. Kuna mchungaji alituambia, kama unadhani alarm clock yako ndio inakuamsha, ipeleke mortuary uone wangapi wataamshwa na hiyo alarm. The fear of the Lord is the beginning of wisdom, MissY.
That was so uncalled for! ushamba jamani ni mzigo! so what if you have money?? between wenye hela huwa wananyamazaaaa, wewe sasa una hela gani yakukufanya utukane mazanta nonstop? ebo! style up young man!
Somesheniiii watoto wenuuuuuuu!!! Elimu inasaidiaaaa sanaaaaa jamaniiiiiii!!! Unaweza kuwa na pesaaa nyingiiiiiii Ila Kama hujasoma utakuwa mjinga mjinga tuuuuuuu!!! Matusi ni ya watu walio kosa hekimaaa na busaraaaa! Hii ni 2017 matusi ni ya 2007!! Matusi nikujidhalilisha tuuu!!!
9 comments:
Nuru huyu domo keshakuwa fala hee kwa hela gani mxiuuu
Mmmh, mmmh, mmh, mmh, mmmh.
Pride is mankind's downfall.
Ni hivi, Mungu anapewa sifa au tunasahau na kujisifu kama vile tumejipa uhai.
Kuna mchungaji alituambia, kama unadhani alarm clock yako ndio inakuamsha, ipeleke mortuary uone wangapi wataamshwa na hiyo alarm.
The fear of the Lord is the beginning of wisdom, MissY.
Matusi hayo yote mbele ya mtoto wake anayeongea tayari. Wasishangae akianza naye kutumia F**k.
Haipendezi kabisa.
Tatizo ya kupata hela uzeeni. Unakua huamini kama mi zako. Lazima uweweseke.
Pride before the fall
Duh!! Shule kweli muhimu
That was so uncalled for! ushamba jamani ni mzigo! so what if you have money?? between wenye hela huwa wananyamazaaaa, wewe sasa una hela gani yakukufanya utukane mazanta nonstop? ebo! style up young man!
Somesheniiii watoto wenuuuuuuu!!! Elimu inasaidiaaaa sanaaaaa jamaniiiiiii!!! Unaweza kuwa na pesaaa nyingiiiiiii Ila Kama hujasoma utakuwa mjinga mjinga tuuuuuuu!!! Matusi ni ya watu walio kosa hekimaaa na busaraaaa! Hii ni 2017 matusi ni ya 2007!! Matusi nikujidhalilisha tuuu!!!
Bakhresa aseme nini?
Mxxxxx
Kama una pesa fungua hospital, weka vifaa vilivyoenda shule, madaktari bingwa,utakuja nashukuru siku moja nilikupa biashara isiyo expire!!!
Acha Uvimba Macho, mwenye pesa ni action tu. Hutoi kitu bila skendo!!!
Carefully baby girls wana blessings.
Now you have a boy!! Mshukuru Mungu acha kukufuru.
Ni Mungu, na hao unawatukana ndiyo wamekuweka hapo!!!
Post a Comment