INAUMIZA SANA HII . NINGETAMANI MAGUFULI ANGEJUA JUU KWA HILI KAMA ALIVYOWATUMBUA WAFANYAKAZI FEKI . HILI NI TATIZO KUBWA ALAFU WATANZANIA WANAONA KAA DOGO UTAKUTA WANASEMA NA KUMSIMANGA MTUMIAJI UTADHANI ATAWAELEWA .HATA NCHI ZILIZOENDELEA ZA KITAJIRI BADO HILI NI TATIZO KUBWA. INAUMIZA MUDA KUTOA MTU ALOINGIA KTK MADAWA . MUHIMU WAUZAJI WACHUKUA IWE HATUA. WATU WANAWAKANA NI KINA NANI ILA BADO WSNAWAFICHA . VIJANA WA KTZ WENGI WANAFANYA HII KAZI NA BADO TAIFA LIKO KIMYA MNO. MOLA MWEKE PEMA AMINA CHIFUPA HUWENDA ANGEORGE ZA WABUNGE WENGI WENYE MACHUNGU NA HILI SUALA
Maisha ni mtihani sana.watuo wengi tunapotea kwa kutotaka kuchambua marafiki wa kuwa nao karibu haswa pale kwenye mambo ya starehe.Ni changamoto sana usiruhusu rafiki akusogelee ambaye unahisi ana tabia mbaya za kutoendana na malengo uliyo jiwekea.
6 comments:
Mungu tusaidie vizazi vyetu! kweli wauza unga walaaniwe wanaharibu sana vijana
Mungu wangu....Sijui ni stress za Maisha au sijui ni fashion, kwanini jmni? Huu unga utawamaliza wengi
Nimelia kwa Nando jamani lol
INAUMIZA SANA HII . NINGETAMANI MAGUFULI ANGEJUA JUU KWA HILI KAMA ALIVYOWATUMBUA WAFANYAKAZI FEKI . HILI NI TATIZO KUBWA
ALAFU WATANZANIA WANAONA KAA DOGO UTAKUTA WANASEMA NA KUMSIMANGA MTUMIAJI UTADHANI ATAWAELEWA .HATA NCHI ZILIZOENDELEA ZA KITAJIRI BADO HILI NI TATIZO KUBWA.
INAUMIZA MUDA KUTOA MTU ALOINGIA KTK MADAWA . MUHIMU WAUZAJI WACHUKUA IWE HATUA.
WATU WANAWAKANA NI KINA NANI ILA BADO WSNAWAFICHA . VIJANA WA KTZ WENGI WANAFANYA HII KAZI NA BADO TAIFA LIKO KIMYA MNO.
MOLA MWEKE PEMA AMINA CHIFUPA HUWENDA ANGEORGE ZA WABUNGE WENGI WENYE MACHUNGU NA HILI SUALA
Mungu, yani nilitazama hii picha ya Nondo kwa uchungu alafu sijui cha kufanya....roho imeniuma kama kidonda.
AM....
Maisha ni mtihani sana.watuo wengi tunapotea kwa kutotaka kuchambua marafiki wa kuwa nao karibu haswa pale kwenye mambo ya starehe.Ni changamoto sana usiruhusu rafiki akusogelee ambaye unahisi ana tabia mbaya za kutoendana na malengo uliyo jiwekea.
Post a Comment