Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, January 25, 2017

Thank Me Later!!!




Tanzania ukitizama bado ni nchi ambayo kununua kiwanja unaweza kupata kwa bei nzuri kama huna makuu.
Kingine ni kwamba mji unakuwa na kutanuka kila kukicha so usijidanganye au kudanganywa kuwa ah usinunue kule ni mbali,big misstake.
Kama hela unayo Nunua ardhi..
Kiwanja huwa hakishuki bali hupanda.
Hata kama huna hela ya kujenga leo hii dont worry nunua ili siku ukiwa na uwezo wa kujenga utajenga.
Watu wasioishi bila njaa ni wenye nyumba na leo hii wamekodisha watu huku wao wakila matunda ya uwekezaji wao.
Nakushauri Nunua kwa leo au kesho kwani sitaki useme kuwa Nuru The Light hakukupa huo ushauri,kwa leo nimemaliza.com!!!

6 comments:

comfort said...

Asante Nuru

Unknown said...

Kweli kabisa bongo sio ardhi ipo kwa price nzuri sana haijalishi umbali wa eneo mji unakuwa kila siku miundombinu inazidi kusogezwa karibu zaidi as u said nuru usiwe na makuu bhassssss

Cute Olive said...

Umeongea point dear Ardhi haishuki thamani hata siku moja!

Bintinyota said...

True and very true hun

NURU THE LIGHT said...

😙😙😙😙😙😋😋,Tuko Pamojah!

anonymus said...

Be blessed nuru!mwamini