Huyu kijana anasema watu wanamfanana sha na Harmoniz yule alikuwa wa Wolper. Lakini hizi simu za camera na mitandaoni imetuzidishia ishaMBA watz. Mtu anapiga picha hata yuko uchi. Sijui Uhuru wa miwili yetu nani atakuja Tunga Sheria kali watu waache .Kibaya watoto wanaoingia wanaona vingi. Daah sijui Itakuwaje??
6 comments:
Mmmmmh!huyu kaka ni mwanamziki?
Kwani hawa ni wakina nani ?? Sio utani wandugu
AM...
Huyu kijana anasema watu wanamfanana sha na Harmoniz yule alikuwa wa Wolper.
Lakini hizi simu za camera na mitandaoni imetuzidishia ishaMBA watz. Mtu anapiga picha hata yuko uchi. Sijui Uhuru wa miwili yetu nani atakuja Tunga Sheria kali watu waache .Kibaya watoto wanaoingia wanaona vingi. Daah sijui Itakuwaje??
Mtihani
He! keshakua maarufu tayari, kwani kazi yae nini?
Naam, mitihani kweli..
AM..
Post a Comment