Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, January 27, 2017

MY DAY AND VISIT AT THE HABARI HOUSE AND AS ALWAYS I WAS SHOWERED WITH LOVE!!,


 FESTO POLEA,,






MARKUS MPANGALA ON THE LEFT SAYING SOMETHING WITTY YET SMART!,
HABARI HOUSE IS A PUBLISHING OFFICE WHERE THEY PUBLISHING 4 IF NOT 5 MAGAZINE A DAY AND I APPEARED ON BOTH BINGWA AND MTANZANIA AS A SERIES OF ARTICLES.
AS ALWAYS YOU MEET A TONE OF PEOPLE WHO WORKS THERE IN DIFFERENT DEPARTEMENT AND GET TO BE INTERVIEWED BY FEW REPORTERS AND ITS ALWAYS FUN BECAUSE THEY MAKE IT FUN FOR YOU,,
THANK YOU ONCE AGAIN HABARI HOUSE FOR A FANTASTIC VISIT,DET GLÄDJER ME

Nilipata nafasi ya kuitembelea Habari House ambao wanatoa magazeti 4 au 5 kama sikosei kwa siku,Mtanzania  na BINGWA ni moja ya magazeti yao.
Nilipata mualiko ofisini kwao na kama kawaida yao unatembezwa ili upate kuona waandishi tofauti na wengine wote wanaoshughulikia mpaka gazeti linapotoka.
Baada ya tour unapelekwa chumba maalum kufanya mahojiano na waandishi tofauti,kiukweli NAFURAHI mapokezi yalikuwa mazuri na nilifurahi kuwaona familia ya habari house kwa ujumla.

4 comments:

Anonymous said...

Nimependa hiyo look ako sana love you

Cute Olive said...

umependeza sana Nuru

Anonymous said...

Bohemian vibes only.... Gorgeous nuru

NURU THE LIGHT said...

Thank you all,,