These Men nowadays they ain!t playing
Na kuna vitu utajua tu mapema ukitizama kwa jicho la tatu..
Usione unashobokewa sana ukadhania unapendwa dada wote in Tanzania naongea na nyie kwani hali imebadilika maana wanaume halisi walikuwa baba zetu ambapo kuna vitu walikuwa hawavifanyi.
Jua kuwa wewe ni mwanamke,kipato kizuri na maisha mazuri basi usipokuwa makini these Men will Chunaring you like nobodys business,nimemaliza.com!!
8 comments:
Sikio LA kufa!!
Umeongea vyema Nuru, na sio kila mwanaume anayekufuata ina maana wewe u mzuri saaaaaana ila wakati mwingine wanajua kuwa wewe ni cheap na hutowapa shida kwenye kukutumia. Wanaume wamekuwa wabunifu sana siku hizi na kuangalia maslahi yao kwanza. Mungu atunusuru kwa kweli. Winnie
Shida ni wadada wengi na kina mama wenye hela zao ni desperate sana. Yaani ukisikikiza story zao ni kuwa...wanatafuta kupendwa, au wamepitia pagumu kwenye mapenzi japo hawajakata tamaa ma wanataka kujaribu tena hivyo wanatafuta mapenzi...so hawa viserengeti wamesha nusa hilo..basi wameamua kuchangamkia deal. Kuna mama mmoja (mwamamke na ana mtoto mkubwa) ameamua kuuza shamba ..yaani kauza shmba la huyo mwanae wa kiume na kumpa boyfriend hela, na nyingine za kumtoa out na shopping eti kisa anatafuta wa kumpetipeti. Huoni hii ni desperation japo hata wanaume wa kawaida au mmume wa ndani unakuta ni pasua vichwa, dyudyu unagawiwa kama biscuit au halijaenda shule au ndio hivyo tena kitambi kinazuia, au zaidi ya yote anamchepuko wake huko nje hivyo hana mpango na wewe kihivyo...so unajikuta lonely.....sasa ukipata wa kukushobokea usipoenda vizuri nae...utauza hata kitanda unacholalia ili umuhonge uwiiii...wanawake ....AKILI KUMKICHWA..HAYA MASIKU YANAOGOPESHA NA HAWA 'HORSE POWER' AKA VISERENGETI
Mwacheni tuu ajiringie maaaana mpaka kumpata huyu chekibob alifanya mengiiii mno including kuvua nguo na kukatika viuno kama chizi.
lool... deez comments lols
Mbona kazi ipo....hasa na wadada wanao ishi nje.. Jamani kuna wanawake wanafanya kazi uku, kila mwezi yuko Western union anamtumia pesa kicheckbob, Kha!!! Mwenzenu wacheni hayo mahaba yanipite...na wala sitokufa single...Msonyoooo
AM....
@ Bintinyota...Sikio la kufa mbona bora....hili ni lakuvunda halina ubani!!! 😂😂😂😂. Wenyewe wanadai raha jipe mwenyewe..hizo raha ....
Sijui sikuizi angaza bado ipo 🤔
AM....
Tatizo wako too cheap hawapati wanaume WA maana. Mxxxxxxxxxxxx
Post a Comment