Bintinyota , upo, ujambo habibty, napita sana humu kwa siku mara mbili au tatu, ila napiga kimyaa, niko busy na Australian open Tennis ugonjwa wangu,... Na hapa habari za town Lazima uchungulie kama kuna Ubuyu 😅 AM...
Joke smile basi dah Utadhan ulisema story ya The secret behand Mono Lisa's smile Anony wa Juu umetokeleza kaa uko kwa kochi wako . Dah wabongo mnapendana umbea !!! Unajisofia kabIsa Hurumaaaaa
Pole mpendwa, kujuwa habari za mjini ndio umbea, basi watu ata magazeti ya Shigongo wasingenunuwa... Kweli bila kusoma blogs tutajuwaje Magufuli kaweka sheria mpya nchini...😉 AM...
5 comments:
Bintinyota , upo, ujambo habibty, napita sana humu kwa siku mara mbili au tatu, ila napiga kimyaa, niko busy na Australian open Tennis ugonjwa wangu,... Na hapa habari za town Lazima uchungulie kama kuna Ubuyu 😅
AM...
Joke smile basi dah
Utadhan ulisema story ya The secret behand Mono Lisa's smile
Anony wa Juu umetokeleza kaa uko kwa kochi wako . Dah wabongo mnapendana umbea !!!
Unajisofia kabIsa
Hurumaaaaa
Hahahahaha mibuyu mpaka inadondosha matunda, mji mzima full Blonde VIP nasi humu tuweke MVI???
Hahahahaha @AM
hahahahahahahahah!!!! @ Bintinyota umeona ehee, ndio habari ya jiji!!!
AM....
Pole mpendwa, kujuwa habari za mjini ndio umbea, basi watu ata magazeti ya Shigongo wasingenunuwa...
Kweli bila kusoma blogs tutajuwaje Magufuli kaweka sheria mpya nchini...😉
AM...
Post a Comment