Haya mapenzi ya sikuhiziiii bwana! Ni maviiii matupuuu! Yaani sikuhizi ni mwendo wa kupendwa wiki moja au mwezi mmoja kwishaaa habariiiii! Halafu drama zinapostiwa Insta na Facebook!! Hehehehehe no hope for real love anymore!!! Duuuuuuuuu!
mmmmmmh mbona jana tu nimeona anamsifia Raj wake jamani? au wame hack acc yake tena buhahahahaha. Mambo ya mjini hayo mi wa shamba acha nikae kimya. Winnie
WOLPER HANA BAHATA JAMANI .BAHATA YAKE KAA YA SAMAKI AKIBEBWA ANATEREZA APANDE BASI ASHUKIE BUNJU AULIZIA KWMPEMBA AKAOSWE KWANI HATA MUNGU KASEMA JISAIDIE NIKUSAIDIE . HII INAWQHUSU BOGO MOVIE KWANI SIAMINI KAMA UHUNI NDO UNAWAKOSESHA WANAUME . HATA CHANGUDOA ANAMWANAUME ALOWEKA NDANI NA KAZI YAKE YA KINYAAA.
6 comments:
Haya mapenzi ya sikuhiziiii bwana! Ni maviiii matupuuu! Yaani sikuhizi ni mwendo wa kupendwa wiki moja au mwezi mmoja kwishaaa habariiiii! Halafu drama zinapostiwa Insta na Facebook!! Hehehehehe no hope for real love anymore!!! Duuuuuuuuu!
mmmmmmh mbona jana tu nimeona anamsifia Raj wake jamani? au wame hack acc yake tena buhahahahaha. Mambo ya mjini hayo mi wa shamba acha nikae kimya. Winnie
WOLPER HANA BAHATA JAMANI .BAHATA YAKE KAA YA SAMAKI AKIBEBWA ANATEREZA
APANDE BASI ASHUKIE BUNJU AULIZIA KWMPEMBA AKAOSWE KWANI HATA MUNGU KASEMA JISAIDIE NIKUSAIDIE . HII INAWQHUSU BOGO MOVIE KWANI SIAMINI KAMA UHUNI NDO UNAWAKOSESHA WANAUME . HATA CHANGUDOA ANAMWANAUME ALOWEKA NDANI NA KAZI YAKE YA KINYAAA.
Kwanza Wolper hana haya kuita Love eti love, msonyooooo, love na mtoto wa shule ya msingi ... Utaweza kudili na hormone za teenager.
AM.....
Hahahahahahahah , Eti apande basi ashukie Bunju aulizie kwa mpemba...Mdau hapo juu umeniuwa mbavu maana nimecheka sio kidogo
AM.....
Kukomaza watoto wa wenzio unafikiri raha? kama mzazi inauma ati kijana wako kutembea na mwanamke alomzidi umri hata mama yake! laana tupu
Post a Comment