Rose umeandika ila kuna wanaonyenyekewa na bado wanasumbua. Kumbuka tusipojiamini tutakuwa watumwa kwa wanaume mpk kufa.
Waafrika bado tuna mfuko eti MWANAUME anyenyekewe Abembele we kosa uoga wa kuachana. Lini wanaume Watakuwa na mfuko wetu. Wawe wanyenyekevu Watubembeleze Wajipendekeze nk. Ukiwa mafutaji ,Unajua wapi pesa zilipo na majukumu unayapangia huwezi baba is wa na anayetaka kuabudiwa.
Mapenzi yako hivi: Tupendane Tubembelezane Tuombane msanaha Tujipendekeze wote Tudekezane We endelea kung'ang'ania kama ruba ufuGe maumivu ya roho .
Kumbuka kuna dawa za maradhi yote ila hakuna dawa za kutibu maumivu ya mapenzi . Mapenzi hutibiwa na mapenzi tu
6 comments:
Mmmmmh!yataka moyo lakini wengine hata ukiwanyenyekea wanzidisha tu ukorofi labda ukute mwenye utu na hofu ya Mungu.
Rose umeandika ila kuna wanaonyenyekewa na bado wanasumbua.
Kumbuka tusipojiamini tutakuwa watumwa kwa wanaume mpk kufa.
Waafrika bado tuna mfuko eti
MWANAUME anyenyekewe
Abembele we kosa uoga wa kuachana.
Lini wanaume Watakuwa na mfuko wetu.
Wawe wanyenyekevu
Watubembeleze
Wajipendekeze nk.
Ukiwa mafutaji ,Unajua wapi pesa zilipo na majukumu unayapangia huwezi baba is wa na anayetaka kuabudiwa.
Mapenzi yako hivi:
Tupendane
Tubembelezane
Tuombane msanaha
Tujipendekeze wote
Tudekezane
We endelea kung'ang'ania kama ruba ufuGe maumivu ya roho .
Kumbuka kuna dawa za maradhi yote ila hakuna dawa za kutibu maumivu ya mapenzi .
Mapenzi hutibiwa na mapenzi tu
Hujapata jini LA GUBU wewe kalale upinguze stress.
Mwanaume?
But why? Why are men treated like gods when they are mere human beings? why don't women get the same treatment and respect?
Mmenikoshaaaa huyu yuko ktk first relation maybe!! Au huyo man wake ni mwizi WA mapenzi!!!
SORRY THIS HAS TO BE IN CAPS!!
THIS SHOULD BE A TWO WAY TRAFFIC. period. we women are human beings too I mean we have blood flowing in us nd we got feelings as well. come on! Ebo!
Post a Comment