Kwa hiyooo Kama sitakiiii kufanya mazoeziiii inakuwaje jee? Jumamosi huwa nisiku yangu ya kulala tu! Ndo siku peke nisiyoenda job! Sitakiiii kupelekeshwa, wala kushurutishwa na wala kuamrishwaaaa! Asante Sana
nafikiri watawatumia sungusungu kuwaamsha watu majumbani mwao afu je walifikiria kuhusu watu waliojiajiri kuwa waaache biashara zao waende kufanya mazoezi?
4 comments:
Nisipo fanya wananikamata ama?
Kwa hiyooo Kama sitakiiii kufanya mazoeziiii inakuwaje jee? Jumamosi huwa nisiku yangu ya kulala tu! Ndo siku peke nisiyoenda job! Sitakiiii kupelekeshwa, wala kushurutishwa na wala kuamrishwaaaa! Asante Sana
nafikiri watawatumia sungusungu kuwaamsha watu majumbani mwao
afu je walifikiria kuhusu watu waliojiajiri kuwa waaache biashara zao waende kufanya mazoezi?
Imekuwa North Korea sasa? MissY.
Post a Comment