Sijui kama huyu mbunifu alishinda kwenye Swahili Fashion Week but it is time turecognise wabunifu wanaofanya kazi nzuri Tanzania na kuwaunga mkono na kuwasupport.
Both Lulu na Kajala wote wamevalishwa na Elisha Red Label kwwnye post za chini.
2 comments:
Anonymous
said...
UMENENA Mshono mmoja tofauti vitambaa na rangi. Nguo ya kajala juu ipo ipo tu na ya Lulu ni rangi tu ilivutia. Ila tusimlaumu Sanaa huwenda walifata uraisi wa bei au kujuana
2 comments:
UMENENA
Mshono mmoja tofauti vitambaa na rangi. Nguo ya kajala juu ipo ipo tu na ya Lulu ni rangi tu ilivutia.
Ila tusimlaumu Sanaa huwenda walifata uraisi wa bei au kujuana
Nzuri sana
Post a Comment