Nuru mara nyingi napita kimya ila mengine vidole huwa vinagoma kabsaa.Hivi huyo mlalamikaji ktk hilo shtaka "the media group" washawahi tukanwa na wangapi?Mbona Skylight pia inajulikana who is behind it?Yule daktari si anakaaga front kama chambo tu,Angekosa nini kudrop hiyo kesi?Kwanini wanamuonea huyu binti ilhali mengi wanayotuhumiwa deep down huwa kuna ukweli?Hii kesi looks more personal than kuikashfu hiyo media. Ila hiyo media wajue hakunaga marefu yasiyo ncha. Si kila vita lazma ushinde,nyengine ni kujitaftia majanga tu mana Mungu nae si mzungu wala Athumani. Ni hayo tu Mie CK (chura wa Kijani)
4 comments:
Nuru mara nyingi napita kimya ila mengine vidole huwa vinagoma kabsaa.Hivi huyo mlalamikaji ktk hilo shtaka "the media group" washawahi tukanwa na wangapi?Mbona Skylight pia inajulikana who is behind it?Yule daktari si anakaaga front kama chambo tu,Angekosa nini kudrop hiyo kesi?Kwanini wanamuonea huyu binti ilhali mengi wanayotuhumiwa deep down huwa kuna ukweli?Hii kesi looks more personal than kuikashfu hiyo media. Ila hiyo media wajue hakunaga marefu yasiyo ncha. Si kila vita lazma ushinde,nyengine ni kujitaftia majanga tu mana Mungu nae si mzungu wala Athumani. Ni hayo tu
Mie CK (chura wa Kijani)
Mpenzi leo naomba nikae kimya😷😷😷😷
Sii tuliyajua hayo ndio maana tukapiga kimyaaaaa...
AM..
Mxxxx Mungu huyu Mungu huyu!!
Atasimama
Post a Comment