Maisha yake tu tosha behind the scenes!!!!! Hivi hizi movies zake huwa zinatoka yani zinaenda sokoni... Maana nasikia ile celebrity, Aijafika sokoni adi leo. Nauliza tu.. AM..
Shida huamka akiumizwatuu. Alianza China .Dubai. Alimwalika mnigeri kipindi kilee. Akiumizwa akacheza movie na mghana sikumbuki cizuri.Akiumizwa akaanza na yule wa big brother na ghafla AKAGEUKA kwa idrisa. Akiumizwa akafungua duka Hapo ataenda Akipata kiurudisho atapotea tena ndo shida. Ila simlaumu kwani anasimama na maisha yake,anavaa ,anaish atakavyo ,kikubwa na Cha mwisho nimuombee Dua Mungu amuongozeee na amjaalie palipo pungua .hakuna mwanadam mkamilifu ila Mungu Mungu aniongozee na wangu wasijenisumbua ukubwani
Nampongeza kwa hili naomba mungu amjalie ili iweze kufanikiwa, Hakuna binadamu mkamilifu chini ya jua mkamilifu ni Mungu peekee, kila mmoja wetu anamapungufu yake sema yanazidiana tu au mengine yanazidi, na kutafuta risk kila kitu kina risk yake kupata na kukosa, Mwanadamu anapoonyesha juhudi kutafuta chake tumpe hongera kwa sababu ni kitu chema.
Mungu akupe baraka wema akupe hekma utulie naamini ipo siku utakuwa mshindi tu InshaAllah .-........ambutterfly
6 comments:
Maisha yake tu tosha behind the scenes!!!!! Hivi hizi movies zake huwa zinatoka yani zinaenda sokoni... Maana nasikia ile celebrity,
Aijafika sokoni adi leo. Nauliza tu..
AM..
Shida huamka akiumizwatuu. Alianza China .Dubai.
Alimwalika mnigeri kipindi kilee.
Akiumizwa akacheza movie na mghana sikumbuki cizuri.Akiumizwa akaanza na yule wa big brother na ghafla AKAGEUKA kwa idrisa.
Akiumizwa akafungua duka
Hapo ataenda Akipata kiurudisho atapotea tena ndo shida.
Ila simlaumu kwani anasimama na maisha yake,anavaa ,anaish atakavyo ,kikubwa na
Cha mwisho nimuombee Dua Mungu amuongozeee na amjaalie palipo pungua .hakuna mwanadam mkamilifu ila Mungu
Mungu aniongozee na wangu wasijenisumbua ukubwani
Hiyo hapo inaweza kutoka 2030maana ile alokuja kuizindua dada wa Naija sijaiona hadi leo.
Ameisha chelewa hatabaki historia ��������
HIYO INAITWA SHUKA WAKATI JOGOO TAYARI KORIKOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Nampongeza kwa hili naomba mungu amjalie ili iweze kufanikiwa, Hakuna binadamu mkamilifu chini ya jua mkamilifu ni Mungu peekee, kila mmoja wetu anamapungufu yake sema yanazidiana tu au mengine yanazidi, na kutafuta risk kila kitu kina risk yake kupata na kukosa, Mwanadamu anapoonyesha juhudi kutafuta chake tumpe hongera kwa sababu ni kitu chema.
Mungu akupe baraka wema akupe hekma utulie naamini ipo siku utakuwa mshindi tu InshaAllah .-........ambutterfly
freedom of mind
Post a Comment