WEMA AND MUNA,,
JAMANI HUYU MAMA KAONGEA MPAKA NIMEMUHURUMIA..
KAONGEA VITU VIZITO SANA MNAJUA AMBAVYO NI VIGUMU NA SIO RAHISI KWA MZAZI KUVITAMKA.
KUNA WAKATI UNAFIKA MZAZI HATAKIWI KUDEAL NA MWANAE KILA SIKU JUU YA MAMBO KAMA HAYA LAKINI HUYU MAMA MASKINI SHE GETS DRAGED INTO IT MARA KWA MARA WHICH ITS NOT FAIR.
HUYU NI MZAZI NA YEYE ANATAKIWA KUWA NA AMANI ESPECIALLY VILE YUKO PEKE YAKE MUMEWE HAYUPO NO MORE SHE NEEDS AMANI.
HAO WENGINE INVOLVED NI WATU WAZIMA LETS HOPE WATAKAA NA KUYA MALIZA SOON TENA VERY SOON,NA KAMA MAMA KAMWAMBIA MUNA ASIONGEE NA MUNA Kumskiliza Then inanipa maswali?
NA BAADA YA KUMSKIA MAMA WEMA YAANI NISHAELEWA TATIZO NI NINI,
WEMA SEPETU TOKA TANZANIA NENDA NJE HATA MWAKA HALAFU USIWASILIANE NA WATU GO AND DO SOMETHING DIFFRENT TRUST ME UTAYAGUNDUA MENGI SANA AMONGST YA WATU WALIOKUZUNGUKA.
11 comments:
Kweli kabisa sio uongo Wema anamchosha sana mama ake muonee huruma, hakuna mama anaependa mwanae apotee hata kidogo inatia uchungu sana tena mno. Wema Toka nje ya Tz kwa mwaka kama alivyosema Nuru utajifunza mengi sana kaa mabli na watu wa mjini Dar halafu uone matunda yake, wewe ni mdogo na ni mrembo wkwa nini jamani?
Mtoto mpumbavu daima ni mzigo kwa mamae!mwamini
KWA KWELI MTOTO MPUMBAVU MZIGO KWA MAMAE. WEMA ANAUDHI JAMANI MAMA YAKE AMESHAMTETEA SAAAAANA MPAKA ANATUKANWA LAKINI NAE IMEFIKA MAHALI AMECHOKA TOTO HAJITAMBUI KWAMBA AMEKUA HASIKIII MJUAJI YEYE HAAMBILIKI. KUTWA KUJIFANYA MTOTO NDIO MAANA HATA MUNGU ANAMCHELEWESHA KUPATA MTOTO SABABU ANAJUA SIO MAMA MZURI. KWA TABIA HIZO MTOTO ATAMLEA NA MAADILI KWELI I DONT THINK SO MUNGU NAE ANAJUA WAKUUMPA. WEMA AMEKUWA TOO MUCH JAMANI SHE NEED TO SIT HER ASS DOWN. NA HAO KINA JUNAITHA NA JOAN NI MARAFIKI SASA MI SHANGINGI TU ILIOSHINDIKANA. WANAMTUMIA KWA BIASHARA ZAO TU
Dah!!! am speechless
Kwa kweli mambo kama haya huwa tunasoma tu, NO COMMENTS
AM....
Mmmmmmh!uchawi upo ila tutakiwa kuamini katika hayo la sivyo utaona unarogwa na kila mtu.
ULOMZAA AKIKUNYEA OSHA SIO KUKATA MKONOO.
WANAWAKE WENZANGU KUMBUKIN AKIWA KAMA MZAZI AWE NA SUBIRA NAE. HATA KAMA KAMCHOSHA AU YUKO PEKE YAKE AJIULIZE WANGAPI WAMELEA WTT PEKE YAO TENA HATA BILA MSAADA NA WATOTO WAKAWATESA MPT KUSIMAMIA BARBARA NI KUJIUZA AU KURSI CHAKARIII NA MATUSI JUU NDO TUSEME WOTEEE WANGEJIREKOD NA KUSEND .
VITU VINGING VIBAYA KTK UKOO SASA AKIONGEA NDO KAMTENGENEZEA AU???
NA MM NAE ANAPENDA KUONEKANA MITATANDOORI . SO ANGEJUA KUFA NYA IBADA KULIKO HU FATS WTT KWENYE VIGODORO SIJUI MDUMANGE.
WAZAZI WENGI WANASUMBULIWA WAO WANAPENDA SANA KUWEKA VITU OPEN NA NDO MWISHO UNAISHIS HAPANA.
MTU ANASOMA MA NA MAISHA YAKE ANAMILIKI APENDACHO SI ANGETAFUTA UFUMBUZI .
NAE KANIUZIII TUU NIKIWA KA MZAZI NA MNAIJUA USUMBUFU WA WATT.
JE MAMA RAY C ANGE FUNGUS TV YAKE KULALAMILA YA MWANAE?
GIGY MONEY MPAKA UCHII ANAKAA
MAMA YAKE HATA KUMJUA KWA SAUTI HATUMJUI.
ATATUTE SOLUTION NAE.
MTT WANGU ANAIZWA! !!!!
MTU MZIMA HOVYOÒO
Age kunswansong simba mpk wafike 30.
MAMA hana busara Pia anakurupuka.
Wema akiwa na bwana mnene yuko kimyaa.
Anajisifia aibu . Wema atabaki kuwa wake mpk lifooo.
Tujifunze kuwasitiri tuwajuao.Au wanaotuhusu .
Sie tulisumbuliwa na mtt na tukamfichia huku tukihangaika
.Muna mbona hamwezi mama yake insta
Upuuzi mtupu
Badala ya kujenga anabomoa
Anon 8.15 kama wewe pia ni mzazi kwanini umuite huyu mama mtu mzima ovyo?
Kama wewe ni mzazi shouldnt you undastand her better kuwa amezidiwa mpaka kuongea unaona kabisa kaongea kwa uchungu na sio kupenda,,
Mzazi kukubali mapungufu ya mtoto wake ni ujasiri mkubwa sana na kitu kizuri kwani inawezekana kuwa zamani alifunga macho na sasa kaona hali halisi,,
KUMUITA mtu mzima ovyo wakati kaongea ukweli sio sahihi kwani Ukweli ndio safari ya kuanza kubadilika i hope kwa Wema na ukweli ni kitu nimegundua Waafrika wengi mnapenda kuficha mwisho wa siku watu HUBAKI kulia kimya vilio ambavyo itachukua miaka kupona
Angeongea mtu baki leo insta nzima ingemtukana huyo mtu lakin kaongea Mzazi tena kaongea kwa kuwa shes tired jamani kwa kuhangaika na mtoto huyu mama asha fanya hivyo kafight sana kwa mwanae na nadhan iko siku mwanae ataelewa haya yote.
Na anon wa 8.22 huyu mama hajakurupuka kaongea kwa uchungu na kama mzazi kaongea Who are we to talk kama nilivyosema last week Wema ni mtu mzima na sio mtoto tena so siku akiamua kubadilika she will in the meantime tuyasome na kuyaacha Instangram.
Natamani kutiririka ila kwa leo inabidi niwe mpole tu kwa maana sijisikii vizuri wacha hili linipite but naona mama nae kuna kitu alikikosea tangu mwanzo yaani bint amekuwa na power kubwa kumzidi mama na haya ndio matunda ya mwana umleavyo ndivyo akuavyo...TNS
NURU nilishasemaga mara kibao wema aende nje ya nchi mbali na watanzania! hebu oneni huu maka sijui wa ngapi hana hata film wala nini ni kupoteza muda tu na mambo ya mapendi sijui. Hata hizo biashara zake naona hazivimi vyema kwa mambo ya internet tu ! Huyu mama abarikiwe maana anajitahidi ila asikat tamaa. Ipo siku tafapata mwanya ! Aende nje ya nchi na akae kimya hukohuko asome thata kitu awe busy jmani mweee !
Ulimwengu WA BATA
@TNS
Watoto mbele wazazi nyuma tunafuata tu, mtihani Wallah
Post a Comment