POLE KWA KUONDOKEWA NA BIBI YAKO BUT NAHISI KUNA SOMO FULANI UTAKUWA UMEPATA KUTOKANA NA KILICHOTOKEA, KWANI MUNGU WAGA HARUHUSU JAMBO LITOKEE BILA KUWA NA SABABU NYUMA YAKE IWE NI NZURI AU MBAYA.
Yaani wanaume wa kiafrica ngachoka maee eti niko kwenye mahusiano na girlfriend wangu yuko nje - sasa kama ulijua una mtu mwingine kwa Wema ulifata nini cha ajabu. Bora huyo binti kajua ni aina gani ya mwanaume yuko naye.
Why is it that women are expected to be faithful and loyal to one man but not the other way around. Niwakati sasa wanaume nao wawe marked au named kama malaya. Nitajaza ukurasa buree.
3 comments:
##YATASEMWA MENGI TUTAYASIKIA MENGI##
POLE KWA KUONDOKEWA NA BIBI YAKO BUT NAHISI KUNA SOMO FULANI UTAKUWA UMEPATA KUTOKANA NA KILICHOTOKEA, KWANI MUNGU WAGA HARUHUSU JAMBO LITOKEE BILA KUWA NA SABABU NYUMA YAKE IWE NI NZURI AU MBAYA.
POLE SANA!!
Yaani wanaume wa kiafrica ngachoka maee eti niko kwenye mahusiano na girlfriend wangu yuko nje - sasa kama ulijua una mtu mwingine kwa Wema ulifata nini cha ajabu. Bora huyo binti kajua ni aina gani ya mwanaume yuko naye.
Why is it that women are expected to be faithful and loyal to one man but not the other way around. Niwakati sasa wanaume nao wawe marked au named kama malaya. Nitajaza ukurasa buree.
N.K.
Huyu dogo bado hajajitambua. Hapo anasema ana girl friend abroad halafu anacheat live bila aibu is he serious?? Yaani mapenzi ya siku hizi ni majanga.
Post a Comment