MSKILIZE HAMISA ON THE PLAYLIST AKIJIBU MASWALI BY LIL OMMY!!!
2 comments:
Anonymous
said...
Nuru ninavyokupenda weeee hujui tu maana sio kwa kutujali huku. Unajua kututafutia vijihabari, Mungu azidi kukubariki na akupe afya njema maana sie wa nje tunajua mihabari kuliko hata walioko Tz. Shukurani sana mrembo wetu wenyewe team Nuru forever hahahahahahahah mtu akikuchokoza mlete kwangu nimchambe, natania bwana hahahahahahahhaa...TNS

Insta shikamoo duuuh maana kila mtu ngozi inatereza hata sie wenye pimples tunaonekana mororo...TNS
Post a Comment