Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, November 8, 2016

PRESIDENTIAL ELECTION 2016!!!I HAVE BEEN WATCHING AND FOLLOWING THE ELECTION AND JUST CAUGHT HILLARY CLINTON VOTING ALONGSIDE HER HUSBAND BILL CLINTON.
WE WILL HAVE THE RESULTS BY TOMMOROW LETS HOPE AND THEN GO FROM THERE.
IT HAS BEEN ONE OF THE MOST SHOCKING ELECTIONS I HAVE EVER WITNESSED BUT IT JUST GOES TO SHOW THAT PEOPLE SUPPORTS ANYTHING IN THIS TIME AND AGE AND HATE IS DEFINETLY WHAT GOT TRUMP WHERE HE IS,SAD BUT TRUE!!

NIMEKUWA NIKIFUATILIA UCHAGUZI WA MAREKANI YAANI HAPA LEO TOKEA ASUBUHI NIKO NA TV NA TIZAMA NA KUFUATLIA NA KIUKWELI KESHO HISTORIA ITABADILIKA EITHER FOR THE BETTER AU WORSE ILA CHUKI INATAWALA TENA MNO KWANI TRUMP KAFIKA HAPO ALIPO KISA CHUKI NA UBAGUZI.
NA WAAFRIKA MNAOMSUPPORT TRUMP NAWASIKITIKIA KWANI HAMJAIONA KESHO BECAUSE HUYU MTU AKISHINDA NDIO MTAELEWA.
SO WANAOWACHEKA OH WAAFRIKA MTARUDISHWA AKISHINDA SUBIRINI MFUNZWE NA HUYO HUYO MNAEMSUPPORT.

1 comment:

grayce gracious said...

Asante Nuru kwa kuliona hilo. Yaani huyu baba akishinda waafrika tuisahau marekani yaani tutakuwa tunaiona kwenye ramani tu....na misaada atafutilia mbali. Nimecheki BBC swahili this morning wanasema eti Trump ana kura 244 na Clinton ana 209 kwenye majimbo 48 kati ya majimbo 50. Hapa nilipo siwezi kunywa hata chai.