KWELI DUNIANI TUNAPITA HIVI KUNA MTU ALITUKANWA KAMA PENNY?
BUT LEO HII ANAISHI MAISHA YAKE NA WALE WALE WALIOKUWA WAKIMTUKANA LEO WANAMFOLLOW NA KUMSIFIA THATS WALIMWENGU FOR YOU KINDA REMINDS ME OF THE LOWASSA SAGA,,
7 comments:
Anonymous
said...
Ma kubwaa watu wanawatukana mpk wasotukanwa sembuse Penny !Mungu ampe ujasiri
7 comments:
Ma kubwaa watu wanawatukana mpk wasotukanwa sembuse Penny !Mungu ampe ujasiri
Alishampa na kumpitisha ndiomaana yake yanamnyokea,wanafki vepeee!!
I love this girl anajitambua ukianguka unasimama unasonga mbele, hana teams wala uswazi swazi, very smart...CinTea
Wamesema mchana weee usiku watalala...ukiwa na hiyo kichwani wafanye yakoo.!mwamini
Hamna kitu kizuri kama ukisemwa ukae kimya. yaani ukimya ni jibu toshaaa.
Nilimwonea huruma sana kipingi kile! kweli maneno yangelikuwa sumu?! Nampenda anajiheshimu
A definition of a Strong Woman
Post a Comment