Hizi tuzo nahisi ni za Uganda kama sikosei na watu walikuwa wanatakiwa kuvote ili mtu awe nominated na kuna watu wanavaaga kwa msimu tu ww umeona tokea Wolper yuko China anavaaa nini? Wema pia ni vile ana watu wengi but Wema hana a sense of her own style bado Mwengine ni Huddah she always wear the same things hana style at all and The same goes to Vera atleast Jokate knows what fits her na ana sense ya kujua style yake. Kuwa a fashionista has to go na ww pia ulivyo na personality yako na a way of your identity na sio tu mtu kaona kavaa designer basi anajua kuvaa no it is more than that. Lulu amebadilika from the Lulu before na huwa anavaaa plus Lulu ana mvuto na hiko pia kinachangia kuna watu wanavaaga simple sana but because wanajijua na mvuto plus basi it looks effortless,,
Naafikiana na wewe Nuru, nimegundua pia watz wengi dont understand wat u hust said, watz wakimpenda mtu tu bas vyovyote anavyovaa kapendeza na anaonekana anajua kuvaa. Ila naamini polepole tutajifunza tukianza kuchanganywa na watu wengine huko duniani tutaona tofauti.
6 comments:
Ndio Hiz Nuru. Wewe unaonaje mi naona wamekosea kwa tanzania leo ukitaja best dressed huwez acha mtaja Lulu au mm tu ndii naona hivyo.!?
Hizi tuzo nahisi ni za Uganda kama sikosei na watu walikuwa wanatakiwa kuvote ili mtu awe nominated na kuna watu wanavaaga kwa msimu tu ww umeona tokea Wolper yuko China anavaaa nini?
Wema pia ni vile ana watu wengi but Wema hana a sense of her own style bado
Mwengine ni Huddah she always wear the same things hana style at all and The same goes to Vera atleast Jokate knows what fits her na ana sense ya kujua style yake.
Kuwa a fashionista has to go na ww pia ulivyo na personality yako na a way of your identity na sio tu mtu kaona kavaa designer basi anajua kuvaa no it is more than that.
Lulu amebadilika from the Lulu before na huwa anavaaa plus Lulu ana mvuto na hiko pia kinachangia kuna watu wanavaaga simple sana but because wanajijua na mvuto plus basi it looks effortless,,
Oh!! Pls i need a cup of tea......
AM....
Na wewe nae yumo?bas sawa
Naafikiana na wewe Nuru, nimegundua pia watz wengi dont understand wat u hust said, watz wakimpenda mtu tu bas vyovyote anavyovaa kapendeza na anaonekana anajua kuvaa. Ila naamini polepole tutajifunza tukianza kuchanganywa na watu wengine huko duniani tutaona tofauti.
mmh wao waTZ waliowekwa kwenye list jamani ni Big no. But huwezi juwa acha tusubiri.
Post a Comment