WITH MY SHEM K A.K.A MKEWE EEEEE!!
ALIKUWA A REGULAR MGAHAWA WANGU LAZMA APITE ALE MISHKAKI,LOL
NILIKUWA NIKIKUTANIA NA KUKUITA MKWE BUT LEO HII IMEKUWA KWELI,,
NIMEFURAHI SANA TENA MNO KWA KUWA MMETIMIZA NA KUMALIZA SIKU YENU VIZURI NA SASA MNAITWA MKE NA MUME.
MENGI NINGEPENDA KUYAONGEA ILA NITAYASEMA FACE TO FACE KWANI HAPA SIO MAHALA PAKE.
SASA NAKUKARIBISHA RASMI KWA NIABA YA FAMILIA KARIBU SANA KWA WAARABU HAHAHHAHAH JOKES ASIDE AM HAPPY FOR YOU BOTH NA NAWATAKIENI KILA LA KHERI KWENYE NDOA YENU,NAWAPENDA SANA!!
3 comments:
Karibu sana mkwe hahahaaaaaaa!
Ameen. May Allah bless them marriage and grant them all good wishes a mom can wishes to her children. One is one!! Only Allah can separate you (till death apart) your souls will remain together by his Grace. Ameen Ameen Ameen
Am eeeeeeee mkwe katishajeeeeeeee hahahhahahahah
Post a Comment