Nahisi huo ujumbe wa pili hapo ni mtu kamchamba Nisha. mimi naona ajabu sana mwanamke kumchamba mwanamke mwenzie kisa katelekezwa au sijui kabeba mimba ya mume wa mtu au sijui kabeba mimba bila kuolewa. Jamani maisha haya ya ndoa, familia na watoto ni maisha ya kuombeana tu maana hata wewe unayeringa umeolewa bado hujijui umeolewa na mtu gani na mko wangapi na hata kama ni kuzaa hujui bado umemzaa nani. siajabu huyo single mother unayemchamba ana maisha ya raha na amani kuliko wewe uliyeolewa kutwa kucha kumfuatilia mume wako.....anayepata presha ni nani? ni bora aliyezaa na kukataliwa kuliko aliyeolewa na mume ambae hajui habari ya familia yupo tu kama mshumaa wa pasaka ndani......yaani kasimama tu ndani kama Batman HAHAAAAA uwiiii. Wanawake tuombeane tuache majungu,kuchambana.
5 comments:
Basi sawa.
Cjaelewa ila can i join you for tea? maana bongo simama nishuke...
Nahisi huo ujumbe wa pili hapo ni mtu kamchamba Nisha. mimi naona ajabu sana mwanamke kumchamba mwanamke mwenzie kisa katelekezwa au sijui kabeba mimba ya mume wa mtu au sijui kabeba mimba bila kuolewa. Jamani maisha haya ya ndoa, familia na watoto ni maisha ya kuombeana tu maana hata wewe unayeringa umeolewa bado hujijui umeolewa na mtu gani na mko wangapi na hata kama ni kuzaa hujui bado umemzaa nani. siajabu huyo single mother unayemchamba ana maisha ya raha na amani kuliko wewe uliyeolewa kutwa kucha kumfuatilia mume wako.....anayepata presha ni nani? ni bora aliyezaa na kukataliwa kuliko aliyeolewa na mume ambae hajui habari ya familia yupo tu kama mshumaa wa pasaka ndani......yaani kasimama tu ndani kama Batman HAHAAAAA uwiiii. Wanawake tuombeane tuache majungu,kuchambana.
nimepitwa sijaelewa hata chembe let me join you too for Tea maisha ya instagram bwana --- ambutterfly
hahahahahahahah!!!!! Nimechekaje hapo kwenye tea kuichanganya na Hennessy.... Tamuje ☕️
AM...
Post a Comment